This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Tupe mrejesho Sasa.
Wakat mwingine muwe mnawweka akiba ya maneno.
Wakat mwingine muwe mnawweka akiba ya maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaTupe mrejesho Sasa.
Wakat mwingine muwe mnawweka akiba ya maneno.
Hebu rudia tena wewe KabwiliHabari wakuu,
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Original Poster(OP) wa hii thread ghafla alianza kujiona Nabii pale Score board ikiwa 2-0(Red Arrows-Simba) [emoji16][emoji16]
Ila kwa sasa akili yake nahisi anaona kama imejaa vyura tu[emoji196][emoji196]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya sasa ndio jumapili jf
Hongereni. Lkn mmefungwa timu lenu bovu.Haya sasa ndio jumapili jioni
Baada ya huu uzi wako kubuma unaanza tena kuharibu kwa tabiri zako mbovu.Tushukuru tu tumefuzu kibishi ila team yetu bado sana kama wachezaji wenyewe ndio hawa akina kanoute na Bwalya
Tumefuzu kibahati tu kaka ila team yetu bado sana,uzuri hata mtendaji mkuu jana kakiri hilo baada ya mchezoBaada ya huu uzi wako kubuma unaanza tena kuharibu kwa tabiri zako mbovu.
Kama unajua soka kweli embu weka akiba ya maneno kwenye soka chochote kinaweza kutokea
Wewe Kabwili mambo ya huku hayakuhusuTumefuzu kibahati tu kaka ila team yetu bado sana,uzuri hata mtendaji mkuu jana kakiri hilo baada ya mchezo
Bado una mtazamo huu huu?Habari wakuu,
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Bahati tu mkuu ndio imetuvushaBado una mtazamo huu huu?
Hapana sio bahati mkuu wangu.. Ni mipango na mikakati na kuchukua hatua za haraka pale tulipokosea kabla.. Mimi naiona kabisa Simba mpya inayoimarikaBahati tu mkuu ndio imetuvusha
Ila tusingetoboa kabisa nadhani ile mvua dsm ilitunufaisha zaidi sie
Nadhani hata wewe unajua hali ya team yetu kiuchezaji kwa sasa
Timu itakaa sawa wachezaji wenyewe washasoma alama za nyakati ikiwa hawatajituma basi nusu kikosi msimu ujao wanaweza wakaachwa.Tumefuzu kibahati tu kaka ila team yetu bado sana,uzuri hata mtendaji mkuu jana kakiri hilo baada ya mchezo