Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

Screenshot_2023-09-23-16-59-34-1.png

Screenshot_2023-09-13-15-16-13-1.png
 
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.

Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.

Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.

Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.

Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?

Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
Si ili mradi kwenye nafasi kuna mtu amewekwa kuijaza? Kwani shida nini?
 
Kwani wewe ni kipofu? Jiwe ndio alianzisha hili na linaendelezwa
 
Back
Top Bottom