tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
- Thread starter
- #101
Sijadhihaki kazi yao hata mara moja....nimeuliza sababu gani zilimfanya huyo mlinzi kumshika mkono huyo kijana? hilo ndiyo swali langu na hakuna anayejibu zaidi ya kulaumu kama wewe....ni wachache wamesema labda mlinzi aliogopa kilichomtokea Mzee Mwinyi pale Diamond JubileeWenzako wamesomea hiyo VIP security Urusi, Uturuki na Uchina kwa zaidi ya miaka saba, wewe unawakosoa kirahisi tu kwa reference ya Instagram!