Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Magufuli alipokuwa anafungua kiwanda mjini Morogoro alipata nafasi ya pia ya kumpokea Mwanamuziki maarufu mjini hapo Afande Sele kutoka chama cha ACT na kujiunga na CCM.
Lakini wakati Afande Sele akishikana mkono na Rais Magufuli mkono mwingine ulishikwa na moja ya walinzi wa Rais....nini hasa kilipelekea mlinzi huyo kumshikana mkono mwingine Afande Sele?
Inaonekana unafahamu hayo mambo mkuu.Naona hakuna hata anayejaribu kutoa maelezo ya maana
Mbona Bob Marley ameshikana na kukumbatiana na viongozi wengi tu duniani....Sasa mvuta Bange kushikana mkono na rais kwanini mlinzi asiwe tayari tayari kwa lolote.
Angekua Mengi/Dewji/Bakhressa unadhani Mlinzi angemshika shika hovyo kama Afande Sele alivyozuiwa?
alikua anaogopa kilichomtokea rais mwinyi pale diamond jubilee jamaa alijifanya anaregebisha maiki akamzaba bonge la kofi mzee wetuTueleze wewe unayezijua hizo sheria zao kwa kitendo kile...