Sijaelewa sababu ya mlinzi huyu kumshika mkono Afande Sele alipokuwa anasalimiana na Dr. Magufuli

Sijaelewa sababu ya mlinzi huyu kumshika mkono Afande Sele alipokuwa anasalimiana na Dr. Magufuli


Rais Magufuli alipokuwa anafungua kiwanda mjini Morogoro alipata nafasi ya pia ya kumpokea Mwanamuziki maarufu mjini hapo Afande Sele kutoka chama cha ACT na kujiunga na CCM.

Lakini wakati Afande Sele akishikana mkono na Rais Magufuli mkono mwingine ulishikwa na moja ya walinzi wa Rais....nini hasa kilipelekea mlinzi huyo kumshikana mkono mwingine Afande Sele?
Mm kuna cku ulivyokua unapiga bit wale wanao taka kuandamana nlijua ww ni mpiga kwata...na nkajua huwez uliza swali la aina hii maana kwa waliopitia maswala ya ulinzi haitaji kuuliza
 
Kwahiyo alitaka kuvua nguo hadharani.
Nashinda nae hapa kwake Zebra Moro muda mwingine anafanya mambo yaajabu sana hawa wasanii wanamaisha tofauti na usanii wao mkuu
 
Bangi mda mwingine ina maanuzi ya ajabu ni bora alivo mshuika mkono[emoji23][emoji23]
 
Historia inaonyesha kuna kijana alijifanya mtaalamu wa kurekebisha kipaza sauti , hatimae akampiga kibao Presidaa Mstaafu. So better late than never and trust nothing suspect everything, mwisho wa kunukuu!
 
HUWEZI MWAMINI MVUTA BANGI ANAWEZA BADILIKA AT ANY TIME.. UNHESHANGA TU MTU KARUSHA NGUMI, KAMPIGA NGWALA, MARA HEADER
 
Mkono uliozuiliwa ni wa kuvutia nanii... Ndio maana ulikamatwa usimfikie mkulu
 
Why Sele only?
Katika wale walioenda pale mbele yupi anaoneka muhuni na amepitia mafunzo ya uaskari, anahisiwa kutumia weed, ametoka upande hasimu wa kisiasa(kwamba inaweza kuwa janja tu apate nafasi ya kudhuru mheshimiwa), .....,

Kulikuwa na sababu kibao ambao wale watu wa kitengo wamefundishwa kuwa na instinct ya kunusa potential danger.
 
Kwa hili swali ulilouliza ,hukutakiwa kuleta hii mada jukwaa hili la Greatest Thinkers hapa JF.Jukwaa hili huwa tunaweka mada zenye uzito kuendana na Jukwaa.
Ungeuliza kuhusu salute aliyopiga Mh Rais ungekuwa sahihi kuleta humu.

Anyway I salute you!
 
Protocol gani unayoijua ya kiulinzi wewe? Watu wapo kazini we endelea kuchati Facebook, huyo ni mlinzi aliyeaminiwa kumlinda rais wewe unaleta thread jamiiforum kujadili kitendo kidogo namna hiyo? Bavicha wewe
Kiongozi...mjibu tuu aelewe...vijana wengi hawana uelewa simple tuu wa vitu rahisi
 
Sele anakula sana ganja, ndo mana alishikwa kudhibitiwa hawakutaka genge la harufu ya bange lizagae pale meza kuu lingewachanganya waheshimiwa.
Kwa hiyo mh. Rais alimpigia saluti mvuta ganja? [emoji4]
 
It is unfortunate that Magufuli has many enemies inspite of the good job he has done so far; hence the precautions taken to protect him from potential threats to his welfare!!
 
Kwa hili swali ulilouliza ,hukutakiwa kuleta hii mada jukwaa hili la Greatest Thinkers hapa JF.Jukwaa hili huwa tunaweka mada zenye uzito kuendana na Jukwaa.
Ungeuliza kuhusu salute aliyopiga Mh Rais ungekuwa sahihi kuleta humu.

Anyway I salute you!
Sidhani kama alishikwa mkono kwasababu za kiusalama may be kulikuwa na jambo lingine kuhusu ule mkono.
 
Back
Top Bottom