hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
afande Sele anawasifu wa kufahamika kuwa nimvuta bangi"""Wanaosalimiana na Rais Magufuli wote wanashikwa mkono mmoja.
so wavuta bangi huwa hawaaminiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afande Sele anawasifu wa kufahamika kuwa nimvuta bangi"""Wanaosalimiana na Rais Magufuli wote wanashikwa mkono mmoja.
Kama ni hivyo basi asingeruhusiwa kabisa kuliko kilichofanyika ki protocal hakifai kuonekana kabisa kitendo hicho mbele ya Rais duniani.Huwezi kuhoji wewe usiehusika na ulinzi, mwenzio yupo kazini, mambo mengine ni ya kuyaacha Kama yalivyo
Captain wa England ni Flinton? Australia ni wazuri sanasouth Africa watakutana Na Pakistan jumamosi. Foreign secretary Boris kasema mechi ya kesho hakosi
Anaogopa nini yaniWanaosalimiana na Rais Magufuli wote wanashikwa mkono mmoja.
Protocol gani unayoijua ya kiulinzi wewe? Watu wapo kazini we endelea kuchati Facebook, huyo ni mlinzi aliyeaminiwa kumlinda rais wewe unaleta thread jamiiforum kujadili kitendo kidogo namna hiyo? Bavicha weweKama ni hivyo basi asingeruhusiwa kabisa kuliko kilichofanyika ki protocal hakifai kuonekana kabisa kitendo hicho mbele ya Rais duniani.
Kama alikuwa threat hakutakiwa hata kumsogelea Rais ...kuliko huko kumshika mkono mmoja.Protocol gani unayoijua ya kiulinzi wewe? Watu wapo kazini we endelea kuchati Facebook, huyo ni mlinzi aliyeaminiwa kumlinda rais wewe unaleta thread jamiiforum kujadili kitendo kidogo namna hiyo? Bavicha wewe
Ni Sky News mkuu na Sky Sports kutoka AzamHuwa nakuambia habari ya Norway naona mnaongea yanayowahusu ma diaspora.
hatuwezi kujua kile ambacho akili Yke ilikuwa imemtuma""lakini kwa kuwa huyo jasusi anaweledi wakuyaona mambo zaidi ya raia wa kawaida nadhani kuna kitu alikuwa amekihisi tu "" na kuhisi jambo sio lazima liwe "" Bali nihali Fulani ambayo ipo kwaajili yakumpatia mtu tahadhariKwahiyo pale alitaka kufanya nini huyo Afande Sele
Kuna mambo ya msingi ya kuliza lakini siyo hili
Kwahiyo hujui sababu za huyo mlinzi kumzuia?
Elimu ya Tanzania kweli magumashi...
Swali la msingi Afande Sele alitaka kufanya nini au kulikuwa na ishara gani mpaka ashikwe mkono mmoja.huyo ni usalama mkuu na ana sheria zake zinamuongoza kufanya kazi zake..
usije kushangaa hata vitani ukaona askari wanatembea kama mateja huku bega moja wakitanguliza mbele,yani wanatembea upande upande kama mazombi,usije jua hawajiamini na ukaanza kuhoji,bali hizo ni sheria zao wenyewe lakini kwa wewe na mimi tunaona upuuzi.
mambo ya kiusalama tuyaache
Afande Sele alionyesha threat yoyote?
Kuna matukio mengi tu huwa hayapo katika ratiba na Rais huwa anayafanya na hakuna matukio kama hayo.Inasemekana kila atakachofanya president kinakuwa kwenye ratiba, na kusalimiana na Afande sele haikuwemo kwenye ratiba, na hiyo inakuwa katika malengo ya ku-control mazingira ili kuhakikisha usalama.