Sijaelewa sababu ya mlinzi huyu kumshika mkono Afande Sele alipokuwa anasalimiana na Dr. Magufuli

Wenzako wamesomea hiyo VIP security Urusi, Uturuki na Uchina kwa zaidi ya miaka saba, wewe unawakosoa kirahisi tu kwa reference ya Instagram!
Sijadhihaki kazi yao hata mara moja....nimeuliza sababu gani zilimfanya huyo mlinzi kumshika mkono huyo kijana? hilo ndiyo swali langu na hakuna anayejibu zaidi ya kulaumu kama wewe....ni wachache wamesema labda mlinzi aliogopa kilichomtokea Mzee Mwinyi pale Diamond Jubilee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…