Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Ccm wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
Hizi picha zilipigwa wakati watu wanaanza kuwasili uwanjani
 
Lakini wewe si ni CCM kindakindaki?

Tabora na Shinyanga hali ilikuwa nzuri sana kwa Lissu
Mm sio ccm, mimi tofauti na nyie ni kuwa mimi sifuati upepo
Tabora na shinyanga hali haikuwa nzuri na ndio maana hukuona picha ya juu hata moja.
Mwanza na arusha mambo yalikuwa vizuri na ndio maana kila kiongozi alipost videos na picha za huko.
Ila hii ya leo dom, ninakiomba chama kifanye namna maana kuna hatihati hali ikawa mbaya zaidi kwenye mikutano yetu
 
Hizo ni ngome za Magufuri! Labda ambao wameshangaza ni Mwanza.
Kingine ambacho naona wananchi wameanza kukiona, matumaini ya kushinda CHADEMA hayapo kabisa.Na uko uwezekano Wapiga kura wengi wasijititokeze 28.10.2020.
Mkuu, haukumsikia magu? Kwamba atampatia kazi mgombea x siyo lazima uwe raisi.
 
Hizi picha zilipigwa wakati watu wanaanza kuwasili uwanjani
Kamanda hakuna tunayemuongopea, picha ni za sasa hivi na ndio maana hata ukizoom hapo unaona jukwaa kuu lote kuna viongozi wamekaa.
Hujiulizi mbona hupati hizo za watu wengi? Hujiulizi mbona hakuna video clip hata moja hadi sasa ya huko dom?
tapatalk_1599228135387.jpg
 
Mm sio ccm, mimi tofauti na nyie ni kuwa mimi sifuati upepo
Tabora na shinyanga hali haikuwa nzuri na ndio maana hukuona picha ya juu hata moja.
Mwanza na arusha mambo yalikuwa vizuri na ndio maana kila kiongozi alipost videos na picha za huko.
Ila hii ya leo dom, ninakiomba chama kifanye namna maana kuna hatihati hali ikawa mbaya zaidi kwenye mikutano yetu
Hahahahaha tulia wewe dawa iingie!
 
Mkuu, haukumsikia magu? Kwamba atampatia kazi mgombea x siyo lazima uwe raisi.
Naanza kupata mashaka huenda mgombea wetu anahujumiwa sehemu.
Sikutegema sehemu kama dodoma watu wakawa wachache hivi
 
View attachment 1558375
Kumbe wakulima walipokwa pamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ndio mambo ambayo huwa natofautina na makamanda wenzangu, huyu ni kutodili nae tu, sisi kama chama tunatakiwa tujikite katika kuzidisha hamasa kwa wananchi kuliko kutafuta kosa kwenye kampeni za mgombea mwingine
 
Back
Top Bottom