Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #61
Kamanda hiyo simiyu huyu anapita tu, kafanya kampeni kila kona aliyopita kuelekea huko simiyu na baada ya simiyu kafanya bunda mjini pamoja na kiabakari.Mbona hushangai idadi do good ya watu wa leo simiyu? Safari hii kutatokea maajabu
Sishindwi mpaka chama chetu kihamasishe watu wahudhurie kwa wingi kwenye kampeniPole kawatafute unaowanga nao huko mnakokutana. Ushindwe na ulegee.
Tuliza kwanza munkari na kunywa maji baridi, kamanda tunajenga nyumba moja, tatizo nyie wenzangu huwa hamuwezi kukosoa pale mnapoona mambo hayapo vizuri.We hizi picha ukichukua wapi na lini. Mtaangaika sans
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Nyie misukule ya lumumba hizi editing mtaacha lini?Kamanda hiyo simiyu huyu anapita tu, kafanya kampeni kila kona aliyopita kuelekea huko simiyu na baada ya simiyu kafanya bunda mjini pamoja na kiabakari.
Lakini pia hapo simiyu unaposema, watu walikuwa wengi tu tizama picha hapa chiniView attachment 1558383View attachment 1558384
Hiyo picha aliyoleta moana kama imepigwa asubuhi hiviCcm wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
Leta picha kamili ili hao misukule waache kuleta edited!Nyie misukule ya lumumba hizi editing mtaacha lini?
Kamanda kwanza tunapoteza muda kumjadili mgombea ambae hatuhusu, pili tuache kujifananisha nae. Tunachopaswa ni kuangalia sisi kama sisi tuna-improve vipi kutoka hapa tulipo.Nyie misukule ya lumumba hizi editing mtaacha lini?
Leta za jioni hii mkuuWe fala hizi picha ukichukua wapi na lini. Mtaangaika sans
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Niwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.
Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.
Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa Chadema.
Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.
Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko ccm basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.
Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.
Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.
Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.
Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.
Mbaazi ikikosa maua inasingizia juaHao wameenda kwa usafiri wao, hawajepelekwa na malori
Kamanda acha kuwa mvivu, kwanza ilibidi hadi sasa hivi kuwepo picha za eneo la tukio, lakikini hakuna.Hiyo picha aliyoleta moana kama imepigwa asubuhi hivi
Kwa hiyo mwanza tatizo halikuwepoKamanda achana na hao ccm, watu ni muhimu kwenye kampeni. Leo dodoma hakuna watu kabisa, kuna tatizo chadema
[emoji116]Ccm wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
Kamanda punguza jazba, tatzo mnaongea maneno matupu. Jiulize swali rahisi sana, siku ya mkutano wa kampeni kule mwanza viongozi wengi walipost picha na video clips nyingi sana, kila ulipopita unaona wanaonyesha kilichotokea mwanza.Wewe ni nani kwani?
Mimi nipo Tabora hivi ninavyopsti comment hii...
Jana nilikuwepo kwenye mkutano wa mgombea wa CHADEMA ndg Tundu Lissu mwanzo mwisho...
It was a clouded rally..
Mkutano ulifanyikia katika viwanja vya Chipukizi katikati ya mji wa Tabora nyuma ya makao makuu ya kanisa katoliki, Jimbo la Tabora...
Ulikuwa ni mkutano usio na wasanii wala burudani ya aina yoyote lakini umati wa watu uliohudhuria kwa hiari bila kushurutishwa ni balaa, ni wengi sana...!!
Tamaa na shauku yao ilikuwa ni kimsikia Rais wao mtarajiwa Mh. Tundu Lissu...
Na kwa kulitambua hilo, Tundu Lissu alikosha nyoyo za watu vilivyo...
Niliandika jana na leo naomba nirudie, kwamba;
Hoja ya CHATO INTERNATIONAL AIRPORT itamtesa sana Magufuli na wana CCM kuitetea...
Na kwa kuwa Tundu Lissu ana kipaji cha kufafanua na kuelezea jambo ktk lugha rahisi na kueleweka, hii iliwangia vyema wana Tabora na kuwajengea picha kuwa....
Bw. John Pombe Magufuli ni kiongozi mpuuzi, mbinafsi anayejijali yeye na tumbo lake tu, mroho na fisadi wa kutisha kuliko wenzake wote waliomtangulia yaani Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete...
Kwa sababu ktk akili ya kawaida ya mtu yeyote yule ni ngumu sana kudhani kuwa Rais anaweza kuamua kujijengea uwanja wa ndege kijijini nyumbañi kwake kwa kutumia mabilioni ya fedha kwa ajili yake mwenyewe na mama yake tu huku akiacha matatizo ya kawaida yenye kuhitaji rasrimali fedha kidogo tu kuyatatua....!!
Kwa habari ya "umati wa watu" Tabora na Shinyanga na hapa Tabora, haieleweki wewe umepata wapi hizi picha na lengo lako ni nini tu..
Nadhani umefanya hivi kujifariji kwa propaganda uchwara kabisa....
Kama unataka kujua umati uliohudhuria mkutano wa kampeni wa Tundu Lissu, Tabora basi unaweza kuwauliza polisi na wenye Magari....
Maana ulipoisha ile saa 12 jioni, ilibidi barabara kuu ya kutoka Nzega kuingia katikati mjini ifungwe kwa dakika kadhaa ili kuruhusu watu watawanyike kwa amani. Hii ilichukua takribani dakika 30 ndipo hali ya kawaida iliporejea...
Kwa wewe naweza kusema bila wasiwasi wowote kuwa you are pretty liar...!!
Huu ni ushauri ambao kila mwanachadema anatakiwa kuufanyia kazi, cha kushangaza watu hata hawastuki kuwa hali inakuwa mbaya siku hadi sikuChadema watumie sana vituo vya tv kutoa sera mahojiano ya lisu yaliyooneshwa Jana yameleta matokeo makubwa sana tofauti na sasa kwa tume tuliyonayo watu wanakata tamaa hata kujitokeza
Yes, kilichofanyika mwanza kwa kuhamasisha watu wengi vile kifanyike mikoa yote ili watu wapigie mabadilikoKwa hiyo mwanza tatizo halikuwepo