Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Kapendeza maana nguo zilikuja baada ya mzungu kuzileta so hapo yupo kiafrika zaidi angevaa gome la mti ingekuwa poaBinti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga.
Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania.
Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na ni hatari sana kwa vizazi vijavyo
View attachment 2284738