Sijafurahishwa na kitendo cha Paula Kajala

Sijafurahishwa na kitendo cha Paula Kajala

Constantly seeking for public attention and a stupid whore like the mom.
 
Hamna hata uchi ni photoshop tu. Ukiiona original pic utatapika
 
Ila picha ya uchi haipo hapo. Kwa level ya ushetani uliopo kwa sasa nadhani hiyo picha ni ya kiheshima sana.
 
Uchi upo wapi hapo?

Ifike muda wazee mliostaafu muachie JF vijana wa kisasa
 
Mbona kawaida sana izo nguo na ndo wanaolewa sana hao dunia ndo ilipofika hapo
 
Kuna watu wanapenda kujipanikisha mambo madogo sana.
 
Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga.

Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania.

Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na ni hatari sana kwa vizazi vijavyo

View attachment 2284738
Huyu dada bado nashangaa wale wahuni wenzake wanampa matangazo ya ule mchezo wa kitapeli
 
Back
Top Bottom