Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Kapendeza maana nguo zilikuja baada ya mzungu kuzileta so hapo yupo kiafrika zaidi angevaa gome la mti ingekuwa poaBinti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga.
Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania.
Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na ni hatari sana kwa vizazi vijavyo
View attachment 2284738
Haya ndio mambo watanganyika yanawaumiza kichwa na kuwapotezea muda kuliko mambo ya msingi katika maisha yenu binafsi. Hapo ulipo ukute unakosa hata muda kusafisha uchafu unaokuzunguka upo busy with other's life... waafrika ni watu wa hovyo sana.Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga.
Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania.
Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na ni hatari sana kwa vizazi vijavyo
View attachment 2284738
Anaishia kuthaminishaNasubir tamko toka kwa baba yake mzee Harmonize
Shetani amekuingilia mpendwaHaya ndio mambo watanganyika yanawaumiza kichwa na kuwapotezea muda kuliko mambo ya msingi katika maisha yenu binafsi. Hapo ulipo ukute unakosa hata muda kusafisha uchafu unaokuzunguka upo busy with other's life... waafrika ni watu wa hovyo sana.
Shughulika na umaskini wako kwanza.Shetani amekuingilia mpendwa
Sasa kama mama yake anapiga picha hizo kuna haja tena ya sisi kuongelea picha za mtoto?Angekuwa ni Binti yako au mama yako mdogo ungefurahi tu sio?
Kho kho kho!! Yaw yawBaba yake Hamrmonize anasemaje
you have nailed itAnatafuta ada ya chuo.
Sema wee mwenzangu, lol.Tupunguze ulalamishi.Kama picha inakuzingua unatakiwa ufanye mambo mengine.Anzisha hata kilimo cha nyama.