Sijafurahishwa na kitendo cha Paula Kajala

Huyu dada bado nashangaa wale wahuni wenzake wanampa matangazo ya ule mchezo wa kitapeli
Mchezo gani huo boss?
 
Nyinyi wazee wa Buza mmeona bikini mnaita serikali. Kweli mnaishi mbali na ufukweni
 
Uchi uko wapi mbona siuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yake muachie mwenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Mkuu mbona hapo yupo kawaida sana? Ushawahi kutembea usiku au kuhudhuria sehemu za starehe hapo dar?
 
Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga.

MWANAMKE KUITWA MZURI KWA PICHA ZA FILTER, NI MATUMIZI MABAYA YA KICHWA
 
Watu wengine sasa hiyo picha ya uchi iko wapi?
 
Mmh nadhani hujawahi kuona picha halisi za uchi.. Naona hapo alichopost ni mapaja wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…