Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbuka ulivyomnanga Diamond kwenye msiba wa Ruge, alipoteremka na Mabodyguard lkn akazuiwa asiingie kuaga.Asante kwa komenti zenyu wasikilizaji hii inanyosha jinsi gani kipindi changu kinavyosikilizwa na watu wengi Wako katika ujenzi wa taifa:
CHUMVI
Aroo..kwenye simu..ovaLakini pia msomaji anasema Mo aliomba wamuue, swali limebaki utata nn alifanyiwa mpaka aombe kifo ?
Ukitafakari khanga na kifo unapata ukakasi sana wa yote yaliyotendeka.
Alitaka aseme alivishwa kitenge.mtekwaaji sikasema mwenyewe alivalishwa kanga sasa hapo kitenge anakosa gani angeongezea kwamba alivalisha na kitu kingine labda ingekuwa kasema uongo lakini kitenge kanuku maneno ya mtekwaji kama gazeti lilivyo nukuu
HakutudanganyaKwahiyo unafurahia Mo kutudanganya?!
Watekaji walitaka kuiharibu sifa ya serikali ya MagufuliNa tena walimuachia bila pesa yoyote. MMMHHHH ina maana boss..........................................?
DuuuuhhKitenge ni Yanga damu na Mo ni Simba. Watani wa jadi hao. Mtani kuvalishwa kanga lazima ataniwe.
Kwamba watekaji walimvua nguo Mo na kumvisha kanga? Mbona inanipa malue lue wakuuMaulidi Kitenge ambaye ni mtangazaji nguli, aache utani kupitiliza.
Eti watekaji walimvisha Dewji khanga, anauliza kwanini khanga? Ya wapi? Maneno kwenye kanga yaliandikwaje? Maulidi wewe kuna leo na kesho na ukitekwa wewe huenda hata wasikuvishe chochote.
Hii pole inaambatana na feelings za utamu fulani hiviiiPole kwa kuchefukwa
Eeh we naweHii pole inaambatana na feelings za utamu fulani hiviii
NO si hivyo mnavyodhani na MaulidDuh! Alivuliwa boksa, akavalishwa kanga tu... akaomba wamuue, wakamwambia nyamaza.... akarudishwa bila ya kuambiwa kwanini walimteka, tena bila kumuomba hata senti... watekaji hadi wakafanya hayo yote walikuwa na lengo gan? Napata ukakasi na hizi taarifa, ni ngumu kumeza kama kipolo cha Gongo.!
Mmh naungana na ma-great thinkers wenzangu kuwa huenda kilainishi kilifanya kazi yake ipasavyo...
huku ni kulazimishana kuishi vile mnataka (ndo mnaita kukua) wewe nani kawahi kukupangia ama kukupa waraka kwamba miaka hii unafaaa uishi hivi na miaka hii ishi hivi.Point! Ila sometimes hawa vichwa vya Samaki kama maulid kitenge ( jina lake halistahili kuandikwa kwa kuanza na herufi kubwa), busara ni kuwasikiliza na kuachana nao, au kutokuwasikiliza kabisa. Ana umri mkubwa lkn tabia na behavior zake ni kama za mtoto wa miaka mitatu.
MO marinda bye byeMaulidi Kitenge ambaye ni mtangazaji nguli, aache utani kupitiliza.
Eti watekaji walimvisha Dewji khanga, anauliza kwanini khanga? Ya wapi? Maneno kwenye kanga yaliandikwaje? Maulidi wewe kuna leo na kesho na ukitekwa wewe huenda hata wasikuvishe chochote.
Acha ujinga wewe!!MO marinda bye bye
Wahindi hiyo ndio michezo yao, muangalie Rhemtulla na Hasanali, sasa MO kajiongeza mwenyeweNa tena walimuachia bila pesa yoyote. MMMHHHH ina maana boss..........................................?
Kwanini mwanaume uvuliwe nyuki zote na uvalishwe kanga? Hujui MO alikuwa ana tabia ya kutembea na mijimama mike ya wenyewe? Mpe pole na kuondokewa na MarindaAcha ujinga wewe!!
Wahindi hiyo ndio michezo yao, muangalie Rhemtulla na Hasanali, sasa MO kajiongeza mwenyewe
Hahahahhaahhaha unajua BOSS kaushangaza sana UMMA baada ya kuutangazia kuwa walimvua nguo, wakamvisha khanga.....hivi ndio vitu kina mkatoliki huwa hawasemiKwanini mwanaume uvuliwe nyuki zote na uvalishwe kanga? Hujui MO alikuwa ana tabia ya kutembea na mijimama mike ya wenyewe? Mpe pole na kuondokewa na Marinda
Alivuliwa nguo ili wamuangalie kama alikuwa na tracking device yeyote....pia kama walimvua basi walimpiga picha za utupu na wakazihifadhi kwenye flash.Maulidi Kitenge ambaye ni mtangazaji nguli, aache utani kupitiliza.
Eti watekaji walimvisha Dewji khanga, anauliza kwanini khanga? Ya wapi? Maneno kwenye kanga yaliandikwaje? Maulidi wewe kuna leo na kesho na ukitekwa wewe huenda hata wasikuvishe chochote.