Sijajisaidia kinyesi cha njano muda mrefu,nakunya cha kijani tu.

MBOPOLI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
160
Reaction score
27
SHIKAMOOO DAKITARI..mimi kwa muda mrefu karibu wiki 2 sasa nakunya kinyesi cha kijani tu,wakati mimi nimezoea kujisaidia cha njano hata wewe nafikiri utakua unakunya cha njano,,je hapo nini tatizo..msaada wako tafadhali maana nakata tamaa nimekimic kinyesi cha njano.asante
 
unachoingiza ndicho uanchokitoa...

sasa kama katika mlo wako unatawaliwa na vyakula rangi ya kijani itapelekea kinyesi cha kijani........

ila kama unakosa choo kabisa hilo ni tatizo
 
Wewe kilasiku unakula kisamvu unategemea nini?
 
SHIKAMOOO DAKITARI..mimi kwa muda mrefu karibu wiki 2 sasa nakunya kinyesi cha kijani tu,wakati mimi nimezoea kujisaidia cha njano hata wewe nafikiri utakua unakunya cha njano,,je hapo nini tatizo..msaada wako tafadhali maana nakata tamaa nimekimic kinyesi cha njano.asante

Toroka uje.
 
HIYO NI DALILI TOSHA YA KUKUONYESHA KWAMBA,U CCM UNATOKA MWILINI
MWAKO NA UNAKWENDA KUPOKEA UPAKO WA MABADILIKOOOOOO!!!
TOROKA UJE UONANE NA DAKTARI KITENGO CHA UKAWA:A S-cry::A S-rap:😛eace:😛eace:😛eace:!!!
 
kweli siasa imewaathiri ubongoni, unaleta siasa hadi kwenye mavi?
 
HIYO NI DALILI TOSHA YA KUKUONYESHA KWAMBA,U CCM UNATOKA MWILINI
MWAKO NA UNAKWENDA KUPOKEA UPAKO WA MABADILIKOOOOOO!!!
TOROKA UJE UONANE NA DAKTARI KITENGO CHA UKAWA:A S-cry::A S-rap:😛eace:😛eace:😛eace:!!!

hahahahahaha aendelee kunya mpaka atakapokunya cha khaki
 
Onana na daktr huenda kuna tatizo katika mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula au kuna tatizo ktk utengenezwaji au usafiridhwaji wa kemikali iitwayo bile ambayo hutengenezwa na ini na kuhifadhiwa ktk kifuko kiitwacho gall bladder, kemikali hii kwa kiasi kikubwa ndio hufanya kinyesi kuwa na rangi yake ya kawaida
 
SHIKAMOOO DAKITARI..mimi kwa muda mrefu karibu wiki 2 sasa nakunya kinyesi cha kijani tu,wakati mimi nimezoea kujisaidia cha njano hata wewe nafikiri utakua unakunya cha njano,,je hapo nini tatizo..msaada wako tafadhali maana nakata tamaa nimekimic kinyesi cha njano.asante

Punguza kusaga kijana (Gomba)
 
SHIKAMOOO DAKITARI..mimi kwa muda mrefu karibu wiki 2 sasa nakunya kinyesi cha kijani tu,wakati mimi nimezoea kujisaidia cha njano hata wewe nafikiri utakua unakunya cha njano,,je hapo nini tatizo..msaada wako tafadhali maana nakata tamaa nimekimic kinyesi cha njano.asante

Acha kula mboga za majani jaribu kubadilisha mboga utaona mabadiliko
 
hamna tatizo hapo... hata kiwe cheusi sawa tu....
 
naam hapo ukiona hivyo ujue mabadiliko ni dhahiri maliza wasi wasi hapo ccm inatoka mwilini yenyewe tu soon utaanza kutoa cha kaki ishara kuwa mabadiliko yameshaingia mwilini mwakoo.
 
Ww huna nn wala nn unakula mimboga ya majan kila sku unategemeaa nn
 
unachoingiza ndicho uanchokitoa...

sasa kama katika mlo wako unatawaliwa na vyakula rangi ya kijani itapelekea kinyesi cha kijani........

ila kama unakosa choo kabisa hilo ni tatizo
napendelea sana kula maparachichi,maharage na wali
 
Back
Top Bottom