Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao.
umeshawahi kufikiria labda unaboa, huwezi mazungumzo ya kawaida?

posts zako zinaonesha unaangalia sana content za red pill/manosphere, utakua na issues(self esteem issues)

ninahisi tu, jifikirie
 
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao.

Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya hapa na pale, mara nyingi tukichat na ku-interact baada ya miezi 4, mdada anaishia kunipotezea, au kufuta namba yangu, ilhali sijamkwaza, hajanikwaza, na hatujawahi gombana, na wala kipindi chote hicho sijawahi mtongoza hata chembe.

Mlio na marafiki wa kike, urafiki wenu ukakuwa hadi mkawa kama dada na kaka/ndugu, hao marafiki mnawapataje?
Niko hapa rafiki
 
Inaonekana hao huanza kwa kukuona una potential ya kuwa mchuchu, halafu kadiri unavyoonesha huna interest hiyo, nao wanapoteza interest.
 
Ukitaka rafiki wa kike abaki na wewe basi jua kila kitu
Yani hata akikuuliza bwana ake anachepuka na nani uwe na majibu(hata kama bwana ake humjui 😁)....tena hakikisha majibu yawe ya kumfurahisha hata kama ni kweli anachepuka yaweke katika namna ya kumfurahisha

Hilo ni moja kati ya mengi
 
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao.

Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya hapa na pale, mara nyingi tukichat na ku-interact baada ya miezi 4, mdada anaishia kunipotezea, au kufuta namba yangu, ilhali sijamkwaza, hajanikwaza, na hatujawahi gombana, na wala kipindi chote hicho sijawahi mtongoza hata chembe.

Mlio na marafiki wa kike, urafiki wenu ukakuwa hadi mkawa kama dada na kaka/ndugu, hao marafiki mnawapataje?
Huwa unahakikisha kuna vitu mnavyo in common lakini???

Maana mie kinachoniweka karibu na washkaji zangu zaidi ni vitu tunavyo-share.

Lakini pia inabidi hao wadada wako wawe open-minded, kwasababu tumeshakaririshwa kwamba kwenye mazingira yetu mwanamke na mwanaume hawawezi kuwa marafiki bila kuingiza mapenzi/ngono.
 
Dah mi siyo mtu wa mademu ila nimeshindwa kuwa na rafiki wa kike ili awe rafiki yangu inabidi kwanza awe mbali tusiwe tunaonana tutumiane meseji tu hapo tutapiga stori zingine, ila tukionana ana kwa ana huwa sina stori naweza kumtongoza na bahati mbaya tukiwa wawili tu shetani anaweza kunipitia.
 
Wewe wenzio walipokua wanacheza na wasichana ulijidai nunda eti huongei na madem, unakaa backbenchs na mnakaa midume tupu eti hamtaki kukaa na dem.

Umefika advance ukapiga pcm, eti msuli kufa ukasoma madem huzingatii.

Uko chuo ukafocus na gpa tu.

Kazini nako unakaza fuvu eti ww ni kazi tu habari za wanawake hutaki.

Sasa unadhani marafiki utawapata wapi??
Mpaka muwe marafiki ni mpaka akuamini, ni mpaka muwe na bond.
 
Mmh!! Hi nchi yetu wengi bado tuko primitive in mind, hamna urafiki wa kike na mme, bila kuwaza ngono au kuomba pesa......hayo mawazo yako yarudishe ulaya uko hapa haiwezekani, kama yupo ni suala la mda hatujui kilinda urafiki bila hisia za ngono au kuomba pesa, ata ukisema umfanya mtu mzima arika la mama ako awe mshauri na rafiki yako, mwishowe ataanza kukutumia vi sms nimekumiss rafiki. Babie uko wapi, niko bored sana leo njoo home, naomba sh 10,000 nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikisomaga maandishi yako nahisi we ni mtu unaongea sana yani unauperepetaa ukikutana na mimi ntakudelete pia.....sipendi mtu anaeongea sana naboreka nae mapema.

Prove me wrong.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Okay katika huo ukimya wako.....I guess kuna namna you are not treating well hao marafiki zako wa kike.

Nnavojua mie expections za wadada, we ni rafiki we chat nakueleza yangu unaniambia yako, nikiishiwa bando i expect sometimes unirecharge, hapa na pale nmekwama uniboost, hivyo yani unafanyaga??

Kama unafanya hayo na wanakimbia achana nao punda hao njoo uwe rafiki angu mwaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe wenzio walipokua wanacheza na wasichana ulijidai nunda eti huongei na madem, unakaa backbenchs na mnakaa midume tupu eti hamtaki kukaa na dem.

Umefika advance ukapiga pcm, eti msuli kufa ukasoma madem huzingatii.

Uko chuo ukafocus na gpa tu.

Kazini nako unakaza fuvu eti ww ni kazi tu habari za wanawake hutaki.

Sasa unadhani marafiki utawapata wapi??
Mpaka muwe marafiki ni mpaka akuamini, ni mpaka muwe na bond.
Nimechekaa had bas. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe wenzio walipokua wanacheza na wasichana ulijidai nunda eti huongei na madem, unakaa backbenchs na mnakaa midume tupu eti hamtaki kukaa na dem.

Umefika advance ukapiga pcm, eti msuli kufa ukasoma madem huzingatii.

Uko chuo ukafocus na gpa tu.

Kazini nako unakaza fuvu eti ww ni kazi tu habari za wanawake hutaki.

Sasa unadhani marafiki utawapata wapi??
Mpaka muwe marafiki ni mpaka akuamini, ni mpaka muwe na bond.
Una Bond na Mademu/Wake za watu Mkuu?

ANGALIA! USIJEKUSEMA KUSEMA SIJAKWAMBIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom