Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

Huu ndio ukweli tunapaswa kuambizana. Interaction yoyote ile kati ya mwanaume na mwanamke ambao sio ndungu inapaswa kuwa na lengo moja tuu....kugegedana basi.
 
Hv hua mnakua hamna kazi ya kufanya mpaka uanze kuchat na mtu tu ambae ni rafiki? Hua mnachart nn 🤔tuseme huyo rafiki ukampata enheee utashirikiana nae nn 👀

Kama hupati marafiki wa kike shukuru mungu toa sadaka mzeee hao wadau wanakera acha tu.....mda mwngn naachaga kuweka status kwa sababu unaweka unakuta masela replies zao hazihitaji nireply ila ile gender akiona umeweka status analeta mada yake hapo hapo mwishoni jiandae kwa muamala
 

Unakosea mkuu hawa watu wenzio wanajua ukishachukua namba ni mwendo wa kuwatongoza sasa wewe unakosea wee ukichukua namba watongoze alaf kula mzigo alaf hapo ndio urafiki utaendelea bila ivyo watakimbia tu na mwisho wa siku utasikia uko mtaani kuwa ni domo zege huna lolote jogoo hapandi mtungi na cha mwisho utasikia jamaa LGBT(sijui nimepatia)
 
Hebu acha wizi wizi bro. Yaani mwanamke akatae urafiki na wewe shida ni nini? Labda unawawekea mtego ndio maana wanakushtukia.

Kwanza wewe mwanaume urafiki na wanawake wa kazi gani kwa faida gani?

Kuna umri ukifika mwanamke hawezi kuwa rafiki yako kwa muda mrefu lazima awe na position ya kudumu kama shemeji yaani mke wa kaka au mke wa mshikaji wako, awe mke wa Ndoa, nyumba ndogo au mama watoto.

So jiulize mara mbili mbili inakuwaje wewe utake urafiki na wanawake na ni mtu mzima?
 
Kama namtaka mwanamke namwambia mapema Sina haja ya kuanzia kwenye urafiki, utakuta mdada sijavutiwa nae kimapenzi, ila ana personality nzuri Zemanda
 
Hao marafiki mbona wapo wengi tu humu JF? Bandiko tangazo utawapata mkuu.
 

Ase...
 
Fact

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Matarajio ya ke wengi ukichukua namba anasubiria mtongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…