Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Mpo salama!

Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.

Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye.
Na ukimwon labda kwenye picha Fulani ujue yupo kimakosa na mchukua kamera hakuwa amemlenga kumchukua Yeye.

Huko Mbeya ni wazi hawezi kutoboa kwa Tulia.

Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu, Tulia naona anapepea tuu

Haya.
 
Siku hizi yuko busy kututaarifu vitu anavyovaa vina thamani gani.
Unaweza kudhani hiki kiatu cha kawaida, hiki kiatu nimekinunua dollar 1500 na hapa tz zililetwa pair 3 tu.
Hizo ndizo mambo zake siku hizi ana mambo kama za akina dogo janja na rayvany
 
Yuko kwenye 50+ na ana miradi yake. Mambo aliyopitia ni mazito. Kumbuka alimpoteza mama akiwa rumande kwa sababu ya hatua aliyochukuliwa kwenye mipangano ya kisiasa. Ningependa akae kimya tu
 
Siku hizi yuko busy kututaarifu vitu anavyifaa vina thamani gani.
Unaweza kudhani hiku kiatu cha kawaida, hiki kiatu nimekinunua dollar 1500 na hapa tz zililetwa pair 3 tu.
Hizo ndizo mambo zake siku hizi ana mambo kama za akina dogo janja na rayvany

Kwamba amekuwa kama kina dogo Chief Godlove
 
Mpo salama!

Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.

Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye.
Na ukimwon labda kwenye picha Fulani ujue yupo kimakosa na mchukua kamera hakuwa amemlenga kumchukua Yeye.

Huko Mbeya ni wazi hawezi kutoboa kwa Tulia.

Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu, Tulia naona anapepea tuu

Haya.
Anapiga hela ya balozi wa marekani kilaini. Ngojea utamuona akitinga tena ubalozini kutumwa mission za uncle Sam.
 
Mpo salama!

Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.

Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye.
Na ukimwon labda kwenye picha Fulani ujue yupo kimakosa na mchukua kamera hakuwa amemlenga kumchukua Yeye.

Huko Mbeya ni wazi hawezi kutoboa kwa Tulia.

Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu, Tulia naona anapepea tuu

Haya.
ni kama kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi tu asivyoaminika kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa 🐒
 
Sugu karata yake ya umaarufu kisiasa ilikua ni Ruge,baada ya kifo sugu kabaki wa kawaida sana hana kiki tena
 
kaka mkubwa kawa underdog ghafla muda huu wanaunguruma wenye mapafu yao ya kisiasa.
 
Siku hizi yuko busy kututaarifu vitu anavyovaa vina thamani gani.
Unaweza kudhani hiki kiatu cha kawaida, hiki kiatu nimekinunua dollar 1500 na hapa tz zililetwa pair 3 tu.
Hizo ndizo mambo zake siku hizi ana mambo kama za akina dogo janja na rayvany
Ushamba flani wakati ni mtu mzima angekua kama Lugumi sijui ingekuaje
 
Back
Top Bottom