Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Ni mfanyabiashara aliyegundua kumbe hizi siasa sio serious it's business, naye Yuko kwenye payroll.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sugu ni rafiki mkubwa sana wa Samia.
Inawezekana yanayoendelea yote Chadema hasa Rushwa kwenye chaguzi za kanda architect ni Sugu sema wabongo mnadhani ni Wenje kwa sababu yeye ndo anayetajwa kutaka kumkutanisha Lissu na Abdul.
Tangu Sugu aanze urafiki na Samia sijawahi kumuamini kamwe. Ni bahati mbaya tu Tulia ni Rais wa Mabunge ya Dunia ila ingekuwa vinginevyo Sugu angepewa na Samia ubunge wa Mbeya Mjini.
Ni mfanyabiashara aliyegundua kumbe hizi siasa sio serious it's business, naye Yuko kwenye payroll.
Siasa za Mbeya hazitabiriki. Inawezekana Sugu akachukua ila kwa nilivyokuwa Mbeya hivi karibuni naona ni kama wote hawana ushawishi kivileWakiachwa wasimame one to one bila Usaidizi nani atambwaga mwenzake
Siasa za Mbeya hazitabiriki. Inawezekana Sugu akachukua ila kwa nilivyokuwa Mbeya hivi karibuni naona ni kama wote hawana ushawishi kivile
Ndio naweza.Labda kwa vile wewe ni kibaraka ndio maana Unafikiri kila unayemuona yupo kama wewe.
Ukiambiwa utoe hoja zenye ushawishi kuelezea ukibaraka wa Lisu utaweza kutetea hoja zako?
Achaneni na kibaraka sio tuu kwamba mnapoteza mda ila kamwe hatokuja kuwa Rais wa 🇹🇿Sumu Kali unayoweza kuandika na bila Shaka ipo ubongoni mwako. Unatushawishije tuamini hufanyi jambo hilo lililomo kichwani mwako?
Zitabirike au zisitabirike Mbunge aliyetuletea maendeleo ni Tulia na ataendelea kuwa mbenge iwe mvua liwe jua.Siasa za Mbeya hazitabiriki. Inawezekana Sugu akachukua ila kwa nilivyokuwa Mbeya hivi karibuni naona ni kama wote hawana ushawishi kivile
Busara aliyoamua kutumia ya kukaa kimya ndiyo angalau inamsitiri. Ameshausoma huu mchezo kuwa umegeuka.Mpo salama!
Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana.
Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo.
Hakuna anayemzingatia Sana Wala Waandishi wa habari na wachukua kamera hawana habari naye.
Na ukimwon labda kwenye picha Fulani ujue yupo kimakosa na mchukua kamera hakuwa amemlenga kumchukua Yeye.
Huko Mbeya ni wazi hawezi kutoboa kwa Tulia.
Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu, Tulia naona anapepea tuu
Haya.
Achana na wewe Kimburu, wenye wenyewe wanajua huyu anaweza kuwa rais ndiy maana wanatumia nguvu kubwa kumdhibiti.Achaneni na kibaraka sio tuu kwamba mnapoteza mda ila kamwe hatokuja kuwa Rais wa 🇹🇿
Kwanza wakishinda hao vibaraka wenu kina Lisu lazima wamtenge na ikiwezekana Wafute uchaguzi wake kule Nyasa Ili wamrudishe kada wa CCM MsigwaBusara aliyoamua kutumia ya kukaa kimya ndiyo angalau inamsitiri. Ameshausoma huu mchezo kuwa umegeuka.
Wanapunguza ghasiaAchana na wewe Kimburu, wenye wenyewe wanajua huyu anaweza kuwa rais ndiy maana wanatumia nguvu kubwa kumdhibiti.
Hawatamtenga, cause hana shida.Kwanza wakishinda hao vibaraka wenu kina Lisu lazima wamtenge na ikiwezekana Wafute uchaguzi wake kule Nyasa Ili wamrudishe kada wa CCM Msigwa
Busara aliyoamua kutumia ya kukaa kimya ndiyo angalau inamsitiri. Ameshausoma huu mchezo kuwa umegeuka.
Nadhani kwa kuwa tayari ni Mwenyekiti wa CDM Nyanda za Kusini haoni sababu ya kupoteza muda wa kulumbana na watu! Kwangu namwona akipita Lissu sawa! Akipita Mbowe sawa!
Lakini pale Mbeya hawezi kushinda kiti cha Ubunge.
Jinga HiliZitabirike au zisitabirike Mbunge aliyetuletea maendeleo ni Tulia na ataendelea kuwa mbenge iwe mvua liwe jua.
So yupo safe Path?
Kamanda wa nchi kavu yupo anapambana chini kwa chini kusaka kura...si lazima saana kupayuka ili uonekane upo kwenye game.