Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

Hela ya Abdul
2025 piga chini sugu weka mwambukusi
 
Ila kabakia kimya kwenye huu mnyukano wa Chadema.
 
sugu ame stuck yuko dilemma, anasoma upepo amuunge nani mkono, wenzake wa kanda zingine na mikoa kama 18 hivi tayari wametangaza kumuunga mkono lissu
 
Hisia za jamii kuwa Sugu ni mmoja wa wanaotumiwa na Mwenyekiti Mbowe juu ya wale waliopishana misimamo na Mbowe, imemfanya kuonekana ana msimamo unaoyumba.

Kwa bahati mbaya upande aliopo unatamani kuona wanaweka imani kwa aliye tayari kuufia msimamo wake. Na kwa bahati kwenye siasa unaweza kupitishwa hukumu hata Kwa hisia tu.

Ova
 
Mwambie Lissu afanye nae mdahalo wa live tv show halafu watu watoe maoni uone.
 
Unafiki kazi ngumu sana. Yupo njia panda aende hadharani kumuunga FAM akose Jimbo au akae kimya angalau kujenga Imani kidogo kwa watu wake wa Mbeya ambao wengi wanamtaka TAL
 

Hatari Sana MKUU.
Sugu yupo Dilemma.
Anashindwa kutoa Msimamo kuwa yupo upande gani! Ingawaje kuna kila dalili yupo upande wa Mwenyekiti Mbowe.

Mbaya zaidi anachohofia ni kuonekana Miaka yote mapambano Yake yalikuwa Bandia. Na hiyo itamfanya aongezeke kwenye orodha ya viongozi wanafiki waliowahi kutokea Tanzania.

Ni Kheri ujulikane tokea mwanzo wewe ni Mchumia tumbo, watu wakuponda tokea mwanzo lakini watakuheshimu kuliko kuwa Mnafiki
 
Kajikuta yuko katikati hajui aende kulia au kushoto...
 
Kwa hiyo na wewe unaweza shawishiwa na mtu kama Sugu?

Babu akalee wajukuu.
 
Wajinga kama nyie mnaoamini watu ndio mkome.

Bado huyo kibaraka mwingine mnaempigania huko ,soon mtakuwa mashoga kama yeye.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Mtu wenu wa Mbeya Mkuu
Sijawahi shikiwa akili Wala kuwa shabiki wa watu wapuuzi.

Mfano yaani Mimi nishabikie kibaraka kama Lisu? Naanzia wapi? Achilia mbali huyo Sugu alishaishiwa kitambo,miaka 10 hakuna Cha maana amefanya Mbeya .

Toka Mbeya imeanza ,Mbunge wa uhakika ni Tulia Rais wa Mabunge Duniani na Spika wa Tanzania
 
Sugu ni rafiki mkubwa sana wa Samia.

Inawezekana yanayoendelea yote Chadema hasa Rushwa kwenye chaguzi za kanda architect ni Sugu sema wabongo mnadhani ni Wenje kwa sababu yeye ndo anayetajwa kutaka kumkutanisha Lissu na Abdul.

Tangu Sugu aanze urafiki na Samia sijawahi kumuamini kamwe. Ni bahati mbaya tu Tulia ni Rais wa Mabunge ya Dunia ila ingekuwa vinginevyo Sugu angepewa na Samia ubunge wa Mbeya Mjini.
 

Labda kwa vile wewe ni kibaraka ndio maana Unafikiri kila unayemuona yupo kama wewe.

Ukiambiwa utoe hoja zenye ushawishi kuelezea ukibaraka wa Lisu utaweza kutetea hoja zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…