Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

Ni mfanyabiashara aliyegundua kumbe hizi siasa sio serious it's business, naye Yuko kwenye payroll.
 

Wakiachwa wasimame one to one bila Usaidizi nani atambwaga mwenzake
 
Labda kwa vile wewe ni kibaraka ndio maana Unafikiri kila unayemuona yupo kama wewe.

Ukiambiwa utoe hoja zenye ushawishi kuelezea ukibaraka wa Lisu utaweza kutetea hoja zako?
Ndio naweza.
1.Alikimbia Nchi Kwa visingizio kibao
2.Familia yake inaishi huko huko Ulaya
3.Hajawahi kemea ushoga Hadharani
4.Hana shughuli rasmi ya kumuingizia kipato ila anapata Fedha Kwa mabwana wake
5.Huwa anapinga Kila kitu Cha Tanzania licha ya kutumia
6.Huwa anaichafua na kusema vibaya Tanzania akiwa huko Kwa wanaomlisha.

Niongeze?
 
Siasa za Mbeya hazitabiriki. Inawezekana Sugu akachukua ila kwa nilivyokuwa Mbeya hivi karibuni naona ni kama wote hawana ushawishi kivile
Zitabirike au zisitabirike Mbunge aliyetuletea maendeleo ni Tulia na ataendelea kuwa mbenge iwe mvua liwe jua.
 
Busara aliyoamua kutumia ya kukaa kimya ndiyo angalau inamsitiri. Ameshausoma huu mchezo kuwa umegeuka.
 
Busara aliyoamua kutumia ya kukaa kimya ndiyo angalau inamsitiri. Ameshausoma huu mchezo kuwa umegeuka.
Kwanza wakishinda hao vibaraka wenu kina Lisu lazima wamtenge na ikiwezekana Wafute uchaguzi wake kule Nyasa Ili wamrudishe kada wa CCM Msigwa
 
Nadhani kwa kuwa tayari ni Mwenyekiti wa CDM Nyanda za Kusini haoni sababu ya kupoteza muda wa kulumbana na watu! Kwangu namwona akipita Lissu sawa! Akipita Mbowe sawa!
Lakini pale Mbeya hawezi kushinda kiti cha Ubunge.
 
Nadhani kwa kuwa tayari ni Mwenyekiti wa CDM Nyanda za Kusini haoni sababu ya kupoteza muda wa kulumbana na watu! Kwangu namwona akipita Lissu sawa! Akipita Mbowe sawa!
Lakini pale Mbeya hawezi kushinda kiti cha Ubunge.

Kwa nini Mkuu?
Nini amekosea Mpaka Wanambeya wasimchague?
Nini anapaswa kufanya kwa Muda mchache aliobakiwa nao aweze kushinda?
 
Kamanda wa nchi kavu yupo anapambana chini kwa chini kusaka kura...si lazima saana kupayuka ili uonekane upo kwenye game.
 
Zitabirike au zisitabirike Mbunge aliyetuletea maendeleo ni Tulia na ataendelea kuwa mbenge iwe mvua liwe jua.
Jinga Hili
Hicho kibetina kimeleta maendeleo gani hapo Mbeya?
Wanaomwamini Tulia na Sugu mm huwa nawaona ni watu wapuuzi wapuuzi mno.
 
So yupo safe Path?

hayupo safe path, anapambana na vita ya nafsi, ameujua ukweli halafu no point of return (gun behind his head).

In dark world( underworld) Kuna level ukishafika yakujua baadhi ya code inakuwa tayari umetia sign ya kifo incase ukiprovoke the reality in public.

CDM sio chama cha siasa, bali ni bargaining chip ambayo wapo wanajua inatumika wapi na wakati gani, FAM ni branch manager pale, kuna baadhi ameshawabatiza na wako upande huo ( they know the business) akiwemo Sugu ( ubatizo ameupata baada ya kupitia kipindi kigumu cha uchumi na akafanya kazi Yao vizuri kipindi cha JPM).

TL na kundi lake, wamelijua hili karibuni baada ya kumuamini sana FAM Kwa kipindi kirefu saana na kumkabidhi mpaka maisha yao, akawachezesha kipindi cha EL wakajua ameteleza (wakamsamehe maisha yaendelee), kipindi cha mama wamejifunza kitu na wanataka wakipore chama kiende kwenye malengo yakisiasa sasa ( the real CCM rival na sio fake political party).
Hii struggle of power ya CDM ni zaidi ya tunavyoiona, shida ya Lissu na wenzie sio smart jamaa watawawin hata FAM asiposhinda, ( they are smart enough, they own country wealth and everything).

Be honorable.
 
Kamanda wa nchi kavu yupo anapambana chini kwa chini kusaka kura...si lazima saana kupayuka ili uonekane upo kwenye game.

Mbowe hawezi kushinda huu uchaguzi. Ushindi wake labda afikishe Kura Mia Tatu tuu ambazo nazo hatoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…