Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

Fedha ya rushwa ya Abdul na mama yake vimemuweka madarakani.

Kwisha habari yake
 
Mihela ya mama Abdul imemchafua Sugu kwa kuitumia kumuibia kura Msigwa
 
Haelewi elewi.

Ni kama mgeni kwenye msitu asioujua wenye Moto Mikubwa. Haelewi apite wapi, haelewi aseme nini. Hajui chakufanya
Aliwahi kunizingua mtandaoni nilipomshauri awe makini ili awakilishe vyema na kada ya sanaa bungeni...

He is a gonner
 
Dhuluma dhidi ya Msigwa
 
Siku hizi yuko busy kututaarifu vitu anavyovaa vina thamani gani.
Unaweza kudhani hiki kiatu cha kawaida, hiki kiatu nimekinunua dollar 1500 na hapa tz zililetwa pair 3 tu.
Hizo ndizo mambo zake siku hizi ana mambo kama za akina dogo janja na rayvany
Nilimshangaa sana taita na hizo pigo za !!!!hii.... hapa bongo hamna"!!!
 
Sugu huwa anatembelea nyota tuu.
 
Sugu anatembelewa na mabalozi wa nchi yenye ushawishi dunia nzima kama Marekani unataka afanye ubwatukaji wa nini?
 
Siku hizi yuko busy kututaarifu vitu anavyovaa vina thamani gani.
Unaweza kudhani hiki kiatu cha kawaida, hiki kiatu nimekinunua dollar 1500 na hapa tz zililetwa pair 3 tu.
Hizo ndizo mambo zake siku hizi ana mambo kama za akina dogo janja na rayvany

Jose yupo hivyo miaka yote...

Na ndio maana moja ya aka zake kimuziki alijulikana kama Mr Proud
 
Mshamba yule anajiona yye ndio Tajir namba 1 Tanzania na dunia nzima
 
Pengine ni KOBE ameinama.... Siasa ina hesabu zake, tusuburi tuone ataibuka kwa namna gani.
 
Watu wameamua kumpotezea baada ya kujua kuwa yeye na Sultan Mbowe wako kwenye kwapa la mama dula.
 
Hapana, ni vile tu ja yeye hajatangaza kuita press aongee
Yeye na Mnyika !
 
sugu ame stuck yuko dilemma, anasoma upepo amuunge nani mkono, wenzake wa kanda zingine na mikoa kama 18 hivi tayari wametangaza kumuunga mkono lissu
Sugu ni Team Mbowe na ni mmoja wale waliokwenda "kumuomba" Sultan aingie mzigoni ila kwa hali halisi inavyoonekana anaona aibu kuzuia upepo kwa viganja vya mikono.
 

unajua. sema unataka ujue zaidi.
ze end of mtuhuru chamani na wafuasi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…