Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

Nafsi itakuwa inamsuta..AIBU
laana ya kumhujumu yule mchungaji itammaliza. atubu tu na kuungama hamna namna. Alimsababisha mchungaji wa watu akajiaibishe sana mara kubebeshwa hadharani picha ya mama! akawa anaongea barabarani kama mwehu Msigwa wa watu!
 
Sugu wmelamba asili mkuu
 
elimu elimu elimu. Mr. II hana kisomo, tafuta elimu angalia usimwache akaenda zake
 
Uchawa ni kitu kibaya. Wana Mbeya hawamtaki MBOWE, chaguo Lao ni Tundu Lissu. Sugu ni CHAWA wa MBOWE
 
Halafu ujue Sugu na Msigwa walikuwa ni washkaji sana. Kwa yeye haikuwa rahisi kugombea wote pale Nyasa, ila kwa shinikizo la Mwenyekiti anaingia vitani.

Ova
 
Huyo Tulia kafanya nini!? Mtu mzima kuwa chawa ni dalili ya ush*ger
Tafuta pesa uwe na msimamo
 
We ni mkewe mpaka ujue kuwa hana shughuli ya kumuingizia kipato!?
Nipe Clip ya mwenyekiti wako akikemea ushoga hadharani au tamko rasmi la serikali kukemea ushoga.
 
Achaneni na kibaraka sio tuu kwamba mnapoteza mda ila kamwe hatokuja kuwa Rais wa [emoji1241]
Hakika hautaion hiyo siku ambayo Lissu atakuwa Rais wa nchi hii maana hautakuwepo kama wale waliokusudia kumdhulumu uhai wake kisha wakatangulia wao!
 
Kwa hiyo na wewe unaweza shawishiwa na mtu kama Sugu?

Babu akalee wajukuu.
Kama unamuona Sugu ni babu utakuwa mtoto wa juzi mno au umeanza kufuatilia habari za mjini juzi, Sugu aliyekuwa anaimba hip hop juzi leo babu akalee wajukuu? Akuja mna shida
 
Ametumia busara sana kukaa kimya, matokeo yakitoka atamuunga mkono aliyeshinda , hiyo ni strategy nzuri kuweka akiba ya maneno ili yasitumike dhidi yako huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…