Sijajua sababu inayofanya Vijana wengi hapa JF kunichukia ni ipi!

Ni afadhari kuchukiwa na WAPUMBAVU kuliko wakupende.


Maana imeandikwa, ajitafutiaye marafuki wengi, ni Kwa uharibifu wake mwenyewe.

Ukichukiwa sana Kwa mazuri itendayo ni Ishara kuwa una kitu Cha thamani.
 
UMUGHAKA one of my favs hapa jf.
Sijasoma mpaka mwisho ila nikutonye kitu, ukiona unachukiwa na una hakika pasi bila shaka yoyote hujafanya ubaya unaostahili hizo chuki basi furahia sana, una kitu watu wanakitaka wanatamani wakichukue kutoka mikononi pako hawewezi, so they envy you.
 
nimekusikitikia bure, we umechanganyikiwa, haya uliyoyaandika kichaa yoyte yule anaweza kuyaandika. Ila tu umesahau kutengeneza ushahidi au vielelezo ya uliyoyaandika. Bwana unashangaa kwanini vijana wenzio wanakuchukia? Mi nafikiri wanakudharau siyo kukuchukia.
 
Naona marehemu umeamua andika wasifu wako mapema watu wasije uedit.
 
Najiuliza tu, unaweza kuuza au kukodisha ID ya JF kwa mtu mwingine? Kuna hesabu zinagoma kabisa.

Najiuliza tu!
 
Kuna watu wanatoa povu bure, mleta uzi hsjaeleweka hata kidogo
 
Huenda huko kujieleza ndipo kunafanya wakuchukie ila ww ni mkongwe hapa jf tambua kama mtu hakujui na hahusiani na ww akikuchukia ni kachukia id yako tu sio wewe. Unajieleza sana unaichukulia jf serious sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…