mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 358
- 895
Miaka ya nyuma walitudharau na tulistahili kudharauliwa sababu tulikuwa nchi ya kijinga sana. Nakumbuka walikuwa hadi wanatangaza mt Kilimanjaro ipo kwao na sisi tupo tupo tu kama mazezeta. Kipindi hicho tulikuwa tunaongozwa na kiongozi mmoja dhaifu sana anayecheka cheka tu.Now we are like rising lion and they fear us.Miaka ya nyuma walikuwa wanatuchukulia poa walimezeshwa matangopori kuhusu TZ sasahivi kutokana na utandawazi wameijua TZ uhalisia wake . Uko sawa
Usichukulie mambo siriaz sana. Wakenya ni watani wetu hata makabila tumeshare, sisi wajaluo tuna ndugu upande wa Kenya. Ukiondoa zile drama za kuchomeana vifaranga vya kuku, mimi binafsi hii vita ya maneno ya tz vs ken huwa naiangalia katika mtazamo wa kiutani zaidi, especially vita ya maneno inayoendelea baina ya mashabiki wa taifa staz na kenya kuhusiana na michuano ya chan inayoendelea. Huwa nasoma comments naishia kucheka tu. Kuna jamaa mmoja wa kenya leo kanivunja mbavu anasema first lady wa tz ni mwanaumeHusika na kichwa cha habari hapo juu
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu
Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Hata walipokuwa wanamtukana Rais wa Tanzania na serikali nao ule ni utani ?Usichukulie mambo siriaz sana. Wakenya ni watani wetu hata makabila tumeshare, sisi wajaluo tuna ndugu upande wa Kenya. Ukiondoa zile drama za kuchomeana vifaranga vya kuku, mimi binafsi hii vita ya maneno ya tz vs ken huwa naiangalia katika mtazamo wa kiutani zaidi, especially vita ya maneno inayoendelea baina ya mashabiki wa taifa staz na kenya kuhusiana na michuano ya chan inayoendelea. Huwa nasoma comments naishia kucheka tu. Kuna jamaa mmoja wa kenya leo kanivunja mbavu anasema first lady wa tz ni mwanaume
Hakuna kitu, wakenya wamesoma zaidi kuliko wabongo, kwa kenya sa100 asingekubaliwa kuwa rais wao!!!.Hapo nimeelewa
😂😂😂😂😂😂
Wivu na wogaHusika na kichwa cha habari hapo juu
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu
Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
SawaHakuna kitu, wakenya wamesoma zaidi kuliko wabongo, kwa kenya sa100 asingekubaliwa kuwa rais wao!!!.
Na ndio maana kijiba cha roho kimewapata.Miaka ya nyuma walikuwa wanatuchukulia poa walimezeshwa matangopori kuhusu TZ sasahivi kutokana na utandawazi wameijua TZ uhalisia wake . Uko sawa
Sahihi.Kama wao kwa wao wanabaguana kwa makabila unategemea nini? Wale ni watu wenye wivu na chuki kwa yoyote
Kenya sasa hawachukulii huu kama upinzani bali ni chuki wameingiza.Tz na kenya ni wapinzani kama ilivyo simba na yanga. ...na sio kitu kipya duniani kwa nchi mbili zilizojirani kuwa na ushindani wa hapa na pale. Hata Brazil na Argentina ni wapinzani.
Ni mambo ya kawaida tu.
Kenya hawana usomi wowote ni ujinga tu wa kujidai wasomi.Hakuna kitu, wakenya wamesoma zaidi kuliko wabongo, kwa kenya sa100 asingekubaliwa kuwa rais wao!!!.
Acha uswahili wa kijinga! Eti utani?Usichukulie mambo siriaz sana. Wakenya ni watani wetu hata makabila tumeshare, sisi wajaluo tuna ndugu upande wa Kenya.
They are ruining their countryAcha mambo ya uswahili wa kijinga? Eti utani?
Wakenya ni wapumbavu sana acha kujilegeza.
We nae hebu acha ulegevu.
Asa mkenya akuchukie kisa nn ?? Atafaidika na nn ??