Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Hapana kaka we utakua MGENI nchini sisi na wao miaka nenda eudi tangu enzi na enzi ni utani wa jadi nakumbuka kipindi cha magufuli ilikua ukienda Kenya ukitaka kuondoka wanakwambia msalimue magufuli kawanyoosha hao sanaaa, so ni utani kwa mtu aliefika huko anajua ndo mana Kenya hakuna mtu wa taifa lolote ANAISHI vizuri Kenya kumzidi mbongo, nyimbo za wabongo zinapigwa sana kumzidi za wasanii wao


Fullstop, kwishaaa
 
If not for our delicate politics, in Africa only Egypt and SA would have been in our league. Hapo umeelewa nini maana labda Kiswahili ni kigumu.
Hizi unazoleta sasa ni ngonjera hicho kipimo kwann ujipimie ww tu? Nchi zote za ngozi nyeusi zina matatizo hayohayo kifupi tunafanana nawao wakisema kama ulisema itakuaje?
 
Yaani waumizwe na Trillion 107?
 
Wana vituko wale, mara usikie christina shusho ni mkenya, mara diamond akaribishwe aombe uraia wa kenya, mara wamtamani mrisho mpoto awe raia wao, kwa kwa kweli wale ndugu wanaona watanzania ni washindani wao kwa kila nyaja
 
Yanga vs Simba
CCM vs Chadomo
Tanzania vs Kenya.

Japo kitaalamu ni kwamba tunashindana Kwa Kila kitu Kwa sababu tunafanana Kwa Kila kitu kuanzia geopolitical Hadi kwenye utamaduni.
 

Sitaki kuamini kwamba kujilinganisha au kutaka kujilinganisha na watu au taifa lingine ni jambo baya, na ni sifa ya Wakenya tu. Sema wewe umechukulia kama ni jambo hasi. Hata Watanzania wanapenda kujilinganisha na mataifa mengine, na kauli kama "sisi tuna umoja, si kama Kenya yenye ukabila, au sisi ni nchi ya amani, si kama nchi zingine, n.k" tunazisikia mara kwa mara.
 
Wana akili kuwazidi, wa bongo Mara 100+,
Bunge la Kenya limejaa academicians, wwmasheria, wabobezi, njoo kwetu hapa, kuna kibajaji, Babu, tale, msambatavangu watu wapo bungeni kqmq wanacheza rede

we jamaa unasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…