Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

Idibo nlifikaga pia
Magere,berega.... kuzunguka exposure tosha sana unapata

Turiani ulienda mkuu nako kuko kuzuri

Ova
Eee nilienda tukaanza debate na mwenyeji wangu na mwambia ni mji wa kawaida sana hawajajenga anasema lkn vibe la hapa sio la kitoto paone hivihivi.😆😆
Kwa kifupi ni pazuri sana asee ukitoka hapo Sasa unashuka kwenye blonde la mpunga Hadi Raha.
 
Ni uzie heka 100 mkuu, nataka kuanza kolimo cha malkmao na machungwa na nanasi.
 
Hii nchi ni neema kila kona. Hata Dodoma wanayosema kame kuna neema.
Ukienda Njombe, Mbeya, Katavi mpaka Kigoma ni neema tupu.
Waiskarl wanagombea ardhi ya Kabgwani wakati huku kwetu ni PARADISO iliojikalia tu.
Siku tutakapo amka tutakuwa tumechelewa. Hongera kuchukua hatua.
Umenunua heka ngapi ?
 

Hapo Gwata ya Kisarawe nakubaliana na wewe.Bado kuna mashamba ya bei mzuri na mengine yana mawe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…