Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idibo nlifikaga piaAhsantee sana mkuu. Mapambano yanaendelea.
Eee nilienda tukaanza debate na mwenyeji wangu na mwambia ni mji wa kawaida sana hawajajenga anasema lkn vibe la hapa sio la kitoto paone hivihivi.😆😆Idibo nlifikaga pia
Magere,berega.... kuzunguka exposure tosha sana unapata
Turiani ulienda mkuu nako kuko kuzuri
Ova
Ni uzie heka 100 mkuu, nataka kuanza kolimo cha malkmao na machungwa na nanasi.Nina heka 200 handeni ndugu, ardhi safi, maji ya kuchimba, nina tractor na nimesafisha 40 hela 20 sasa, nilichezeshwa mno, nikatafuta wambulu 3 ( nao si haba kishirikina ) nikawanunulia na mifugo, siwalipi, wanajiendesha kwa tractor, mifugo na vibarua, na nimewapa target wasafishe angalau hela 150
Mimi Kule sitarudi mpaka Wageni wewe wengi!
Ni uzie heka 100 mkuu, nataka kuanza kolimo cha malkmao na machungwa na nanasi.
Umetisha sana, hongera kwa maono mazuriHapana, hapa ndo mahali nitazeekea nikichoka miji, ila vinapatikana sana tu!
Naweza kupata heka 100 kwa shilling ngapi mkuu unipe ramani niende wikend hi.Hapana, hapa ndo mahali nitazeekea nikichoka miji, ila vinapatikana sana tu!
Naweza kupata heka 100 kwa shilling ngapi mkuu unipe ramani niende wikend hi.
Poa mkuu ebu nijipange nielekeze vijiji gani vizuriBei ya heka is between 200,000 to 300,000
Aiseeee, kweli mambo ni motoKwa kifupi nakuomba hima hima tuwepo pale ndoto zako na zangu ni zile zile. Gunia la pumba za mahindi niliuliza sehemu nikaambiwa 10k sikutanii. Na Kwa pembeni niliona baadhi ya pumba zimeoza kabisaa nahisi pale ilikuwa Tunguli Tanga.
Ukihitaji Kisarawe ndani yanapatikana mkuu.Mengine yamepimwa na yana mawe pamoja na hati ya kimila (customary)Naweza kupata heka 100 kwa shilling ngapi mkuu unipe ramani niende wikend hi.
Kisarawe ni bei huwezi kupata kwa bei ya 300k kwa heka.Ukihitaji Kisarawe ndani yanapatikana mkuu.Mengine yamepimwa na yana mawe pamoja na hati ya kimila (customary)
Hakuna mbadala mkuu wenyeji ni wavivu 90% utajua yote hayo nakwambia na mengine mengi ambayo hujayaandika ukweli ni kwamba ninyi ni wavivu.
Hapo hapo Mvomero nimekutana na wasukuma Hadi mawasiliano Yao ninayo wanapiga kazi. Ukishindwa wewe na mke wako usidhani wote watashindwa mkuu. Tulizana wewe na mke wako mengine waachie wanaume. Nimetoka kahama Hadi hapo sijakurupuka Wala mhemuko ama papara la hasha!
Unapajua Pwani kisarawe (mto ruvu)? Upande huu ni morogoro na ng'ambo ni pwani?
Huko pia nishafika mkuu napajua Nje ndani vigogo Wana mashamba na mapori ya kutupwa lkn kipindi hicho hicho mjomba alipata Heka 70 Nenda gwata sehemu Moja inaitwa vizembe.
Kama ungesema hamna soko hapo ningekuelewa lkn Kwa uharo ulio andika nakuona ni Moja ya watu walioshindwa Kwa 100% unataka na wengine washindwe. Nimenunua heka5 trh16/11/2024. Tusitishe watu. Cha kuogopa ni kupoteza maisha tu na sivingine!!
Sasa bei nzuri ni shilling ngapi?Hapo Gwata ya Kisarawe nakubaliana na wewe.Bado kuna mashamba ya bei mzuri na mengine yana mawe kabisa
Kisarawe ni bei huwezi kupata kwa bei ya 300k kwa heka.
4m kwa kila heka au kwa shamba lote?Si kweli.Kisarawe bado kuna mapori ya bei poa kabisa.Kuna mtu alipata ekari 50 zenye mawe kabisa kwa milioni 4
100k au 150kSasa bei nzuri ni shilling ngapi?
Apa n wap katika ivyo vijiji ylivyo vitaja,pia ulibahatika kuuliza kiwanja bei yake nimepapenda mnoSehemu tulivu sana huku sauti ndege za ndege zikiimba utukufu wa Mungu!!