Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

Inavutia,kuna picha umesahau kuficha uso wako, watekaji wameshakujua,

pili huyu shemeji yetu anayekula embe ni mzuri sana,

Mwisho kabisa ukiona sehemu ina fursa na watu wamezubaa ujue kuna viashiria vya ushirikina hapo,ukienda oitisha chale za kisukuma
 
Alafu mimi hapa natafuta eneo la kufugia karibia miaka miwili sasa bila mafanikio. Nitaenda huku.
 
Kwa namna nilichoona pale jinsi ya eneo lilivyo na kinachofanyika pale niliona ni mzaha mkubwa. Maji ni ya lutekenya tu lakini kinacholimwa ni kidogo sana ardhi Ina rutuba Hali ya hewa nzuri.
Umejuaje ardhi ina rutuba kama hujaa na kuishi ukalima ukaona kinachotoka.....mkuu unaangalia kwa macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…