enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Nakushauri rudi tena Mvomero,kaa miezi mitatu kuna kitu muhimu utakigundua!Hii ya sasa ni nadharia,rudi tena ukafanye vitendo halafu uje hapa! Kaulize wazee kwa nini iliitwa Turiani!nilipata nafasi ya kuzungumza na wenyeji walisema ardhi ipo niwewe na Hela Yako.