Alphamale wa JF
Member
- Sep 21, 2024
- 73
- 227
Acha mikwara. Mvomero ni wavivu nikimaanisha Mvomero kama kijiji na kata toka hata haijawa Wilaya ikiwa chini ya Morogoro DC enzi za akina mzee Mbilu, mzee Joka diwani yule mwarabu ambaye mtoto wake ni DAS kule Mbeya na refa wenu maarufu alikuwa anaitwa Ombopa.Kweli wewe unaijua Moro, mimi naifahamu Mvomero ngoja mtoa mada aje kutoa ushuhuda muda siyo mrefu! Eti wenyeji wavivu!Ameendeshwa na mhemko,papara,ushamba,ulimbukeni,kiburi n.k! Rudi tena kwa wenyeji wako wa Mvomero!
Wakati nasoma Lusanga Sekondari nilikuwa nakuja kucheza ndondo hapo naichezea Asec ile ya waarabu akina Seifu kabla sijasajiliwa Mtibwa Sugar. Msalimie Ramadhani Lundenga na Salum wa Gheto kama wapo hai na wapo hapo Mvomero.
Watu wa pale wanaendekeza majungu tu. Mleta uzi ni msukuma wao wanapiga kazi tofauti na nyie wazigua na wasangazua😀😀😀