Sijamuelewa mke wangu

Sio ofisi zote. Ofisini kwetu hakuna mambo kama hayo. Tena ni kosa kubwa hata kutaniana mambo ya mahusiano. Tunakuwa na reception watu wanakuja na waume au wapenzi wao wanaojulikana. Kwenye reception hakunaga ujinga ujinga, masaa 3 mnaondoka. Kwenye recreation tunalala hotel kubwa na huruhusiwe kuja na wenza . Na tunakuwa pamoja mpaka jioni hadi kila mtu anaenda kulala chumbani kwake.
 
Sisi ofisini kwetu ukigundulika una mahusiano na mfanyakazi mwenzio mnafukuzwa kazi. Hakunaga ujinga wa kutongozana.
 
Ila mkuu namimi umenifungua macho nahisi namimi kuna kitu natakiwa kukifanyia kazi maana nshaletewa maombi mara kadhaa kama hayo ya kwenda kulala mahotelini kwa ajili ya vikoba
Ila mkuu namimi umenifungua macho nahisi namimi kuna kitu natakiwa kukifanyia kazi maana nshaletewa maombi mara kadhaa kama hayo ya kwenda kulala mahotelini kwa ajili ya vikoba nkayapiga chini
 
Ile gang ya wakataa ndoa inazidi kupata maujiko 😁😁😁😁
 
Miaka 17 yote kashakuchoka na vile huna pesa na nguvu za kiume siku jizi nusu goli na hicho kitambi chako bro!! jitafakari.
 
Pole mkuu, kitendo cha kuwa hakuombi ruhusa Ila anakupa taarifa, kina ukakasi Sana kwenye hiyo mitoko yake.
 
Acha ufara ukachapiwe ukae kimya
Sasa upige kelele uchi wako kwani hata akichapwa nao???

Halafu tujifunze kukubali kuwa mitazamo hutofautiana. Unachoamini wewe hakipaswi kumithilishwa na biblia ama Quran kuwa lazima kiaminiwe na kila mtu.

Kabla sijasahau, fala mwenyewe.
 
Wamechoka kuchepuka mchana muda wa kazi wanataka wakakeshe usiku mzima wakibinuana.

Hakuna Mikumi wala Mitano hapo.
 
Napitia hili pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…