Sijamuelewa mke wangu

Hahaha
 
unavompa mtu ushauri kama huu muwekee na hela
 
Wee jamaa! Tangu nioe mke wangu hajawahi kulala nje! Haya pambana na democracia ya haki sawa! Mimi kwangu ni mfumo sume! na waajiriwa katika biashara zangu tunaongozwa na sheria! Ukizingua nje!
 
ukifariki atachungwa na nani?usiwe na mawazo negative utakufa kwa presha Hawa viumbe wakiamua kupigwa pipe wanapigwa hata ndani ya nyumba yako na wewe umelala masterbedroom.Mwache aende
 
Hii ndo hasara ya kuoa malaya wa club na pub!
 
Duh ndoa Zina mitihani sana. Unaoa bado unajikuta unakuja kuishi Kama mtu ambae hajaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…