Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Ulitaka aseme kitu gani zaidi ya hayo?"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVICO19
Hayo ndiyo maneno yaliyo setiwa midomoni mwao tu yaani kusifia sifia tuAnajipigia chapuo ili awe waziri Mkuu kwa miaka 15.
Kazi gani wewe wacha uchuroKazi nzuri sana.
Eti eeh? Atulie naona kijana mmoja mnyoa kipara anapiga jerambaAnajipigia chapuo ili awe waziri Mkuu kwa miaka 15.
Ili mwisho wa siku aendelee kua Waziri mkuu[emoji16]Hayo ndiyo maneno yaliyo setiwa midomoni mwao tu yaani kusifia sifia tu
Niishiwa nguvu pale alipoambiwa kuwa shangazi zake wangepigwa na kuvunjwa miguu jamaa akauchuna tuIli mwisho wa siku aendelee kua Waziri mkuu[emoji16]
"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVICO19
Huyu baba nae basi tu hanaga tafouti na Phillip Mpago......lakini kwanini Tz hatunaga charismatic leaders wengi ni stooges eti tunategemea mabadoliko katika hi nchi na viongozi kama hao"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVICO19
Waache bhana...si tunataka tuione pesa mtaani..Ila hizi kampeini zinazo endelea mapema hivi Sina hakika kama zinanianjema
Tulisha aminishwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu kumalizika kama taifa tunatakiwa tuweke siasa pembeni ili tupate muda wa kufanya kazi za kujenga Taifa letu,
Sasa hii Habari ya kufikilia chagu za 2025 binafisi sioni kama ni sahihi, kiongozi kufikilia uchaguzi 2025 badala ya kujikita kutakuwa kero za wananchi hii nikutukosea