Sijamwelewa Waziri Mkuu amemaanisha au ndiyo kusema ukiitwa mbele ya mfalme lazima umfurahishe

Ndio amesema, ni mawazo yake. Anayo haki hiyo. Ukweli anaujua mwenyewe
 
Yep! Malkia Hangaya nyota yake imeng'aa kwa kipindi kifupi kutokana na ubunifu, umakini na uchapa kazi wake.
Tatizo sasa kuna watanzania wengine wenye sifa zinazoshabihiana na zile za malkia Hangaya ila tatizo lao tu ni kwamba nyota zao hazing'ai.
So inabidi uwatafute kwa tochi ili kuweza kuwaibua.
Mmoja wa watanzania hao ni Ndg Pascal Mayalla. Ni kijana mzalendo, mchapa kazi na mwenye kuitumikia nchi hii kwa hali na mali.
Maadam imetokea pengo la nafasi ya ukuu wa wilaya kule Arusha, ningependa kumsihi malkia Hangaya kuwa ikimpendeza 'amfitishe' Pascal Mayalla kwenye nafasi hiyo ili aendelee kuitumikia nchi yetu kwenye viwango vingine.
Nitafurahi iwapo malkia Hangaya atazingatia maombi haya ambayo yamekuwa yakitolewa na watanzania wengi kwa kipindi kirefu.
Yadumu maamuzi ya mwenyekiti. Na Mungu baba wa Mbinguni azidi kumuinua malkia Hangaya aweze kuiendesha nchi yetu kwa viwango vya kipekee!
 
Alikosea kidogo angesema wazi Hadi 2035...
 
Utamaduni wa CCM uko wazi kabisa uchaguzi wa Rais ni 2030!
Mama hii awamu amempokea Ngosha,awamu yake Rasmi inaanzia 2025 Hadi 2035
 
Pamoja na hayo kujikomba lazima
Hiyo ni kawaida yetu wabongo si unakumbuka kuna watu wakati wa Kikwete walimsifia sana na hata kutaka aendelee na madaraka lakini alipoingia Magu wale wale walimponda sana na kumsifia Magu leo tena wale wale wanamkandia Magu sasa sifa zote kwa Samia! Hii ndio bongo watu wapo kama vinyonga.
 
Wanachotazama ni mkono kwenda kinywani tu.
 
Duh..wazungu wanasema never outshine your boss..
 
Hujaelewa nini sasa hapo? Kwani ni uongo alichosema?

Hiyo sio mara ya kwanza ๐Ÿ‘‡
Mama anaupiga Mwingi soma hapa ๐Ÿ‘‡

 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Kwenye mambo kama haya nikiweka comment huwa napigwa ban ya siku saba๐Ÿ˜

 
Ndugu yetu huyu ni Waziri Mkuu mbovu kabisa kuwahi kutokea. PM anatakiwa awe mtu wa kuinitiate major programmes na sio kutumwa cha kufanya

Ofisi yake imepwaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ