Hii taasisi imekuwa ngumu kaka acha tu nipambanie nilicho nachoNdoa ni Taasisi mkuu Oa utaelewa😅 kuongoza Taasisi sio rahisi
Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana.
Una hakika hao watoto ni wakoLengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana.
Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe stress za bure wakati maisha yenyewe ndo haya na kila siku watu humu wanalialia kwa wanayopitia kwenye ndoa
Sitaki ndoa hata wanishikie panga ninachopambania sasahv ni kulea watoto wangu na kuwajengea maisha mazuri ya baadae
Life without marriage is possible
NO NDOA NO STRESS
Familia bila watoto inakamilikaje mkuuKwa hiyo maana ya familia ni kuwa na watoto iwe au isiwepo ndoa sio?
Sidhani mkuu maana naishi nao siyo kwamba wako na mama zaoHao watoto watakusumbua tu ,kiufupi unajichimbia mkwara mwenyewe.
Ni wangu mkuuUna hakika hao watoto ni wako
Ukizeeka utatuhadithiaLengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana.