Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

Ukifikia umri wa miaka 32 bila kuolewa... uje upitie tena huu uzi wako halafu uone kama utakuwa na mawazo haya..!!!
 
Maelezo yako ni sawa na kusema kuwa kwakuwa matajiri wengi wanavamiwa na majambazi na wengine hata kuuawa unaona ni bora usitafute pesa ili na wewe uwe tajiri siku moja...
 
Mods wakimpiga ban huyu wanipige pia ya wiki, nawaruhusu. Huyu tangu huko anajiandikia na kuchanganya madesa. I wonder mods hawamuoni au wanapenda anavyojichanganyia jinsia! Au nao wanafurahia uandishi wa ajabu ajabu hivi.
Sijui kwa kweli ila huyu mwamba yeye hapa jamnvini ameji identify kama me na kama ke, haeleweki
 
Katafute maraika akuoe,
Life is about taking risk,usipokuwa tayari ku take risk,hutafsnya chochote hapa duniani,
Naogopa kuanzisha biashara ya duka,kwa sababu Kuna watu nimewaona wameshindwa kulipia flemu,biashara wakafunga!
Naogopa kwenda kulima nyanya,je zikikosa soko zikaoza!
Acha hayo mawazo,olewa fasta ukigonga 35,we itabidi ukubali kuchezewa na vben ten,au uwe mchepuko wa wazee wa 50+,vijana wenzako wa umri huo,watakuwa wameishaoa.
Binti wa 20+anaolewa na kijana wa 30,sasa wewe ukifika 30+,wakukuoa ,wameishaoa.
 
Juzi ulikuja hapa na uzi kwamba upo kwenye ndoa ya miezi nane lakini unampenda boyfriend kuliko mume

Mods tunaomba aina ya watu kama huyu muwafungie kabisa maana wanaondoa credibility ya JF

huyu anabadilika kulingana na siku wala usishangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…