Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live coverage na documentary kidogo basi... Sasa najiuliza huu utaratibu wa kupiga kwaya na kulazimishana kutunga nyimbo za maombolezo tumeurithi wapi