Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Huu ni ukorofi sasaWenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live coverage na documentary kidogo basi...
Twapishana tamaduni na desturi, wao wazungu sie waafrika.Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live coverage na documentary kidogo basi...
... dini wametuletea wao hata hizo choir!Twapishana tamaduni na desturi, wao wazungu sie waafrika.
Kwamba hujui tuna culture tofauti ? We huoni huku kwetu hata akifariki mtoto maduka yanafungwa mtaaniWenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live coverage na documentary kidogo basi...
Zama zetu walishapita siku nyingi
Ila kulia kwetu sisi waafrika ni kwa kishindo ila wao huficha kilo hicho kwa kuweka maua na kutafakari kifo khasa cha mtu mkubwa.... dini wametuletea wao hata hizo choir!
Na kama aliefariki ni mtani, basi hakuna kulala.Kuna makabila, vifo, hupambwa na Sherehe, siku hizo za maombolezo, watu wanacheza, kuelewa n.k .
Nadhani umenielewa.
Psychologists wanasema kulia kunaondoa "sumu" mwilini; kulia ni jambo jema kuliko kutunza fundo moyoni. Wacha tulie.Ila kulia kwetu sisi waafrika ni kwa kishindo ila wao huficha kilo hicho kwa kuweka maua na kutafakari kifo khasa cha mtu mkubwa.
Ndo maana runinga zao zote zonyesha picha na msiba huo kwa kuendana na kumbukumbu za maisha ya aliefariki.
Lakini haimaanishi kuwa nao wao watu hawazimii wala kudondoka maana tayari hayo yametokea. Na kwaya zao zipo makanisani.
Hatuwezi kuwa sawa nao.
Hakika.Psychologists wanasema kulia kunaondoa "sumu" mwilini; kulia ni jambo jema kuliko kutunza fundo moyoni. Wacha tulie.
Kila taifa lina utamaduni wao wa kuomboleza na kufarijiana.Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live coverage na documentary kidogo basi... Sasa najiuliza huu utaratibu wa kupiga kwaya na kulazimishana kutunga nyimbo za maombolezo tumeurithi wapi