Sijaona Channel yoyote ya Uingereza ikiomboleza kifo cha Malkia kwa kupiga nyimbo za kwaya kama Afrika


Kuna Mtu aliniambia kuwa Mzungu ni Mungu nikambishia na akaniambia niondoe herufi z katika Neno Mzungu halafu nimsomee linalobaki nikamwamkia Shikamoo.
 
na ndiye alikuwa custodian wa kanisa la anglican...duniani kuna vituko sana
 
Inaonyesha Ni Jinsi Gani Mtoa Mada Hujielewi.. Unategemea Utamaduni wa Afrika ni Sawa na Nchi zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…