Sijaona Kosa la Mzungu, ila najua ameondoshwa kutokana na Uswahili, Majungu na Uafrika Wetu

Mchezaji wa Simba, Dejan Georgejevic kupitia akaunti yake ya Instagram amesema mkataba wake umevunjwa kuitumikia klabu hiyo.

Na kama leo hii ( hasa CEO ) Barbara Gonzalez uliyemleta huyu Mzungu umeona hafai ni kwanini hapo mwanzo Mimi MINOCYCLINE na Yule mwana Jamiiforums Maarufu GENTAMICINE tulipopiga mno Kelele hapa kuwa asisajiliwe na asajiliwe Ceaser Lobi Manzoki kwakuwa huyu Mzungu tulikuwa hatumjui na aliyekuwa akimjua ni Kocha aliyeondoka Zoran Maki mlitupuuza na mkatuaminisha kuwa ni bora zaidi ya Manzoki?

Sitaki kuwa Mnafiki Kiufundi ( Kimpira ) huyu Mzungu Dejan ni mzuri tena hata zaidi ya Sakho na Okra aliyegombana nae Majuzi ila mmeamua Kuachana nae kwakuwa tu aliletwa na Kocha Zoran mliyeshindwana nae na wenye Akili tulipoona tu Kocha Zoran Maki mmeshindwana tulijua kuwa hata Maisha ya Mzungu Dejan ndani ya Simba SC lilikuwa ni Suala la muda tu ila nae mngeachana nae na hatimaye leo limetokea.

Sikatai wala sipingi Kuachana nae Mzungu Dejan ila kama ameondoshwa kwa Chuki na sababu zisizo na Mashiko nawahakikishieni kuwa Laana yake kwa kile tulichomfanyia kwa Kumtumia Okra amchokoze na amdhalilishe ili awe Frustrated na Confused ndani ya Simba SC itatutafuna Kimafanikio kama ile ya kula Rambirambi ya Kiungo wetu wa Kikongo Patrick Tabu Metesa Petit Mafisango ( Baba Crespo ) na kuja Kujuta.

Pole sana Mzungu Dejan usijali Waswahili ( hasa Sisi Miafrika ) ndivyo tulivyo, tunashukuru kwa hiki kidogo ulichotupa na wenye Kuujua hasa Mpira tunajua Wewe ni Mchezaji Fundi hasa na unaujua Mpira hivyo tunakutakia Kila la Kheri huko uendako na Binafsi kama MINOCYCLINE nakuombea upate Klabu Kubwa zaidi ya Simba SC ili Utuumbue tulioachana nawe Kimajungu na Kiuswahili hii leo.

Nimesikitika na kusikia vibaya sana.
Acheni ujinga wazungu wanaoujua wapo Singida huyu wa Simba apishe asajiliwe striker mwingine kwenye dirsha dogo
 
Dejan alikuja kama professional Kwa kuletwa na Professional Coach. Baada ya kuondoka Maki wamebaki waswahili àmbao wakiambiwa tu, huyu mwenzetu wana wanakuchomoa.
Uswahili bado ni shida kwenye soka la nchi hii Kwa sababu hata Wawekezaji bado ni Waswahili au wanafuata Uswahili wa Kiswahili.
Kama ninyi mnaosema haya ni wana Simba basi tusi la msomali linatuhusu.
Mijitu sijui ina nini kuambudu wazungu
 
Kama Simba imeweza kukaa miaka 2 na Chriss Mugallu imeshindwa nini kukaa na Dejan? Nipe wewe ubora wa Mugalu dhidi ya Dejan.
 
Mchezaji wa Simba, Dejan Georgejevic kupitia akaunti yake ya Instagram amesema mkataba wake umevunjwa kuitumikia klabu hiyo.

Na kama leo hii ( hasa CEO ) Barbara Gonzalez uliyemleta huyu Mzungu umeona hafai ni kwanini hapo mwanzo Mimi MINOCYCLINE na Yule mwana Jamiiforums Maarufu GENTAMICINE tulipopiga mno Kelele hapa kuwa asisajiliwe na asajiliwe Ceaser Lobi Manzoki kwakuwa huyu Mzungu tulikuwa hatumjui na aliyekuwa akimjua ni Kocha aliyeondoka Zoran Maki mlitupuuza na mkatuaminisha kuwa ni bora zaidi ya Manzoki?

Sitaki kuwa Mnafiki Kiufundi ( Kimpira ) huyu Mzungu Dejan ni mzuri tena hata zaidi ya Sakho na Okra aliyegombana nae Majuzi ila mmeamua Kuachana nae kwakuwa tu aliletwa na Kocha Zoran mliyeshindwana nae na wenye Akili tulipoona tu Kocha Zoran Maki mmeshindwana tulijua kuwa hata Maisha ya Mzungu Dejan ndani ya Simba SC lilikuwa ni Suala la muda tu ila nae mngeachana nae na hatimaye leo limetokea.

Sikatai wala sipingi Kuachana nae Mzungu Dejan ila kama ameondoshwa kwa Chuki na sababu zisizo na Mashiko nawahakikishieni kuwa Laana yake kwa kile tulichomfanyia kwa Kumtumia Okra amchokoze na amdhalilishe ili awe Frustrated na Confused ndani ya Simba SC itatutafuna Kimafanikio kama ile ya kula Rambirambi ya Kiungo wetu wa Kikongo Patrick Tabu Metesa Petit Mafisango ( Baba Crespo ) na kuja Kujuta.

Pole sana Mzungu Dejan usijali Waswahili ( hasa Sisi Miafrika ) ndivyo tulivyo, tunashukuru kwa hiki kidogo ulichotupa na wenye Kuujua hasa Mpira tunajua Wewe ni Mchezaji Fundi hasa na unaujua Mpira hivyo tunakutakia Kila la Kheri huko uendako na Binafsi kama MINOCYCLINE nakuombea upate Klabu Kubwa zaidi ya Simba SC ili Utuumbue tulioachana nawe Kimajungu na Kiuswahili hii leo.

Nimesikitika na kusikia vibaya sana.
Kwahiyo simba wajiandae kwa "KARMA"
 
Back
Top Bottom