GE2025 Sijaona maandamano ila nimemwona mwanaume mmoja amekuwa Rais

GE2025 Sijaona maandamano ila nimemwona mwanaume mmoja amekuwa Rais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Imekuwa ni kitu ya kujiridia sana sana mara kwa mara katika maono, nimekuwa nikiona kiongoz mpya nchini Tanzania

Leo nimeona mwanaume mmoja ndo amekuwa rais na baada ya huyo kuwa rais sikuona tena maandamano

SAYUNI BOY
 
Hii kitu iko wazi... ila wabongo ni ngumu kuamini mpaka mtu amekufa ama yametimia

Siku si nyingi yanatimia haya...! mtakuja hapa kumuita Beira Boy Nabii! Wakati ni vitu tunaviona dhahiri kwenye ulimwengu wa roho!
AMINA ubalikiwe sana mtumish

Ukikaa katika ulimwengu wa ROHO unaona kabisa tiari nchi ina rais mpya

Mda ndo utaamua
 
Mwaka 2023 huu unabii ulitolewa,kule mjini YouTube! Mwenye macho na aone!, mwenye sikio na asikie!
 

Attachments

  • GET READY TANZANIA, POWERFUL PROPHECY TO TANZANIANS_Low.mp4
    6.1 MB
  • Screenshot_20250928_233552_TubeMate.jpg
    Screenshot_20250928_233552_TubeMate.jpg
    120.5 KB · Views: 31
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Imekuwa ni kitu ya kujiridia sana sana mara kwa mara katika maono, nimekuwa nikiona kiongoz mpya nchini Tanzania

Leo nimeona mwanaume mmoja ndo amekuwa rais na baada ya huyo kuwa rais sikuona tena maandamano

SAYUNI BOY
Tukuamini na ndoto yako?
 
Back
Top Bottom