AMINA ubalikiwe sana mtumishHii kitu iko wazi... ila wabongo ni ngumu kuamini mpaka mtu amekufa ama yametimia
Siku si nyingi yanatimia haya...! mtakuja hapa kumuita Beira Boy Nabii! Wakati ni vitu tunaviona dhahiri kwenye ulimwengu wa roho!
Kwahiyo unataka kunipeleka motoni we kijana!...Mda utoe hukumu mtumish
Tukuamini na ndoto yako?Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Imekuwa ni kitu ya kujiridia sana sana mara kwa mara katika maono, nimekuwa nikiona kiongoz mpya nchini Tanzania
Leo nimeona mwanaume mmoja ndo amekuwa rais na baada ya huyo kuwa rais sikuona tena maandamano
SAYUNI BOY
Naimba nitag uzi wa lumumbaTumia akili, alishamaliza kazi tusuburi matokeo. Rejea pia uzi wa Lumumba.