Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahaaaVipi kuhusu mchango wa ccm katika kudidimiza taifa? Nao huuoni?
Hii ni mada ya siku nyingineVipi kuhusu mchango wa ccm katika kudidimiza taifa? Nao huuoni?
Boss wake tu, ni kituko, sembuse ye ye!Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.
Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.
Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.
Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.
Nini kimempata huyu Mpambanaji?
FafanuaBoss wake tu, ni kituko, sembuse ye ye!
Una manisha nini?Alikuwa anakatika mauno mpaka nikajua pengine ni mtu wa mtu
Umenikumbusha kutekwa mchana kweupe pee!, na watu unao wajua, halafu unapotezwaVipi kuhusu mchango wa ccm katika kudidimiza taifa? Nao huuoni?
Hayo ni maigizo bn... Au umesahau kifo ni kifo?Umenikumbusha kutekwa mchana kweupe halafu unapotezwa
HahahaaaUmenikumbusha kutekwa mchana kweupe pee!, halafu unapotezwa
Mtaka cha uvunguni iko inuliwa matanda, pia usipo ziba ufa mwiji chungulia daniHayo ni maigizo bn... Au umesahau kifo ni kifo?
Na hauta uona kwa kuwa alitaka kuwatoa wahuni wa kijani mapangoni mkamwandama,akawaletea darasa la kuacha uchawa na ufisadi na wizi wa mabao ya mkono mkamwona msaliti na sasa amewasusia wanaukoo wa panya sasa amehamia ukoo wa kondoo.Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.
Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.
Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.
Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.
Nini kimempata huyu Mpambanaji?
Hiki kijitu ni ki takataka tu...sound nyingi na kimelemazwa na magufuli kubwabwaja, kusifia na kujikomba ili kiweze kwenda chooni na watoto na mke....na upuuzi kama huo. Takataka kabisa! johnthebaptistHabari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.
Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.
Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.
Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.
Nini kimempata huyu Mpambanaji?
Chadema wanamuomba aje agombee Urais kupitia Chama Chao πππ₯Hiki kijitu ni ki takataka tu...sound nyingi na kimelemazwa na magufuli kubwabwaja, kusifia na kujikomba ili kiweze kwenda chooni na watoto na mke....na upuuzi kama huo. Takataka kabisa! johnthebaptist
Kosa lako ni kusema ''Nini kimempata huyu mpambanaji'' badala ya kusema ''Ni nini kimempata huyu mchumia tumbo''. Ndugu yangu, CCM asilimia kubwa ni wachumia tumbo.Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.
Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.
Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.
Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.
Nini kimempata huyu Mpambanaji?
November Mama amarula kwenda Cuba.....kusomea apate hata D mbili....subiri arudi tuone faida tutayopata huko......last time JK tulipewa vitabu vya shule sekondari ....watu walichoka kabisa......walileta kiwanda viuatilifu kibaha pale....hapo lidogo ingawa hatununui hapo tunaagiza nje....deal dealHabari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.