Sijaona Mchango wa Balozi Hamphrey Polepole kwa Taifa kama alivyotuaminisha hapo Mwanzo

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.

Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.

Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.

Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.

Nini kimempata huyu Mpambanaji?
 
Boss wake tu, ni kituko, sembuse ye ye!
 
Na hauta uona kwa kuwa alitaka kuwatoa wahuni wa kijani mapangoni mkamwandama,akawaletea darasa la kuacha uchawa na ufisadi na wizi wa mabao ya mkono mkamwona msaliti na sasa amewasusia wanaukoo wa panya sasa amehamia ukoo wa kondoo.
 
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.

Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.

Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.

Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.

Nini kimempata huyu Mpambanaji?
Hiki kijitu ni ki takataka tu...sound nyingi na kimelemazwa na magufuli kubwabwaja, kusifia na kujikomba ili kiweze kwenda chooni na watoto na mke....na upuuzi kama huo. Takataka kabisa! johnthebaptist
 
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.

Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.

Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.

Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.

Nini kimempata huyu Mpambanaji?
Kosa lako ni kusema ''Nini kimempata huyu mpambanaji'' badala ya kusema ''Ni nini kimempata huyu mchumia tumbo''. Ndugu yangu, CCM asilimia kubwa ni wachumia tumbo.
 
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.

Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.

Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.

Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.

Nini kimempata huyu Mpambanaji?
November Mama amarula kwenda Cuba.....kusomea apate hata D mbili....subiri arudi tuone faida tutayopata huko......last time JK tulipewa vitabu vya shule sekondari ....watu walichoka kabisa......walileta kiwanda viuatilifu kibaha pale....hapo lidogo ingawa hatununui hapo tunaagiza nje....deal deal
 
Back
Top Bottom