Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.
Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora.
Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa mara ya kwanza Kuwa Balozi Nchini Malawi Lilongwe.
Ametusimulia mambo mengi kama azima yake ya kuitendea Taifa na aliendelea kutuoa ahadi kede kede aliphamishiwa Cuba Havana.
Mpaka sasa sijaona hata kimoja alichotelekeza angalau hata kuanzisha miradi ya kufungua ajira kwa vijana wa Tanzania.
Nini kimempata huyu Mpambanaji?