Sijaona mkare (4 girls)

hali naona imekuwa tete,mchumba anatafutwa jamani sioni sababu ya kupashana.......<BR><BR>anayetafuta anaonekana sio mjanja wala muongo weee kaka wanawake hawapendagi watu wa hivi,unazidi kuingia chakani mwaya.....sie tunapenda mtu anayetudanganya.....<BR><BR>na mwisho nimeanza kuside na Ivuga,wanawake tunapenda tuwe na financial security ndioo maana saa nyengine tunajipanga kibao kwa mtu mmoja anayeonekana kuwa nazo,wewe kwa maelezo yako ndio kwaanza unahangaika na life hujalipatia bado,ni vigumu kupata mtu kazichange zaidi usisikilize wanafiki wanaoataka kukuchoresha zaidi humu mwishowe useme yooote hadi bank una shiling ngapi,humu ni vivuli tu mwaya usihangaike sana
 
Yap B.O.G weka pic za geto lako sasa ili wakubali kuwa kama ulianza kulala chini 4 sure after 10 years mwana utaendesha gari, kila kitu ni kutafuta man usiogope mikwara ya Ivuga yeye picha kapiga nyumba ya jirani yake.
 
Kama ingekuwa watu wakisoma wanakuwa na uwezo Wa kufikiri Kama wako basi wengi wange-opt kuwa wajinga!Anyway, to avoid ban.. Wacha nikalale...
sijakuelewa bado..wt the hell u want?if you think education is expensive try ignorance.. nyi ndio mnangojea baba zenu wafe ili mn'gan'ganie mali ...
 
hebu acha ujinga mdada, umeambiwa pesa ndio mapenzi? Ucjidhalilishe mdada hata kama mwanaume ana pesa si zake we zinakuhusu nini?au umemsaidia kutafuta! Yani mdada kama ww ni limbukeni na hujithamini.Pesa si kitu dada ujue kuna virusi pia.Je men mwenye mali then malaya anaelala na machangu na men masikini then mtulivu mwenye real luv na uaminifu,na kukujali ww unachagua yupi?
 
umeona dadayangu ee.. mimi sina kinyongo naye .. im just trying to put him kwenye reli.. sasa hivi anataka kuweka picha za mapazia yake.. nani hawezi kununua mapazia? hivi unataka kupata mwanamke kwa kuweka picha za mapazia? bado naendelea kumsisitizia dogo akapige kitabu.. anadai aliacha chuo kwa sababu alikuwa analala darasani..he?? sio bangi hizi kweli? mola hamtupi mja wake.. now days things have changed especially hapo nyumbani tz. guys wanaopingana na mimi ni kweli hawajaelewa intention yangu.
 
kwani umaskini ndio mapenzi??? siku hizi mapenzi na pesa ni kama chanda na pete.. amini usiamini acha kumtukana dada wa watu kwa kuongea ukweli.. no money no respect in this world.. usilalamike piga kitabu kuwa mjasiriamali lazima utatoka tu. ok pesa si kitu kuna virusi pia.. maskini hawapatwi na virusi?? kama pesa ndio virusi watu waliopo europe na usa wenye mapesa ya kumwaga wote si wangekuwa an virusi??? believe me sikunyanyapai ila virusi vinachangiwa na umaskini... ok?
 
hahahhahahah!! staki nataka mieee
 
Yap B.O.G weka pic za geto lako sasa ili wakubali kuwa kama ulianza kulala chini 4 sure after 10 years mwana utaendesha Bentley, kila kitu ni kutafuta man usiogope mikwara ya Ivuga yeye picha kapiga nyumba ya jirani yake.
hahahah!! aweke picha ya mapazia yake atampata nani? hahahaha .. dogo aende akamalize chuo kwanza ndio arudi hapa atafute mwanamke ..
 
good to be honest bt unfortunatly ur not kind of what am lookin 4 .
 


wee nitusi ila hakuna mdada yuko tayari kukaa na mtu ambaye hana pesa,umasikini ni mzigo au hujui hilo???eti real luv,wee real luv ukiiona utaijua????UNAIPIMAJE??? kisa mtu ni maskini then ana real luv eeeh???endelea kujidanganya!ingekuwa hivyo pale muhimbili wanaopata ukimwi wangekuwa matajiri peke yake..........................mtu akiwa funancially stable mwanamke inakupa confidence hata mkizaa mtoto hatapata shida,au hata wewe mwenyewe mwanamke ukipatwa na tatizo kuna mtu wa kukusaidia............................meza tema ila ukweli ndio huo wanawake tunataka mtu atakayetupa financial security!
 
tell em .. tell em
 
good to be honest bt unfortunatly ur not kind of what am lookin 4 .

am not looking for any man,that was just advise,the problem with you....you dont digest what is being said....unachukulia tunaokushauri vinginevyo kama haters....hili ni tatizo...be realistic my brother utasearch weee usimpate huyo mtu,ongeza CV lako uone kama hawatajipendekeza wenyewe? wala hutakuwa na shida ya kumtafuta humu mtandaoni watajipendekeza wenyewe...shaurilo!
 
we Jestina nimependa jinsi unavyommwagia mipoint huyu dogo.. he should take ya advice and work on it immediatelly// mpaka sasa hivi ni kuwa japo dogo ana mi konfidensi lakini hawezi kupata mwanamke hapa JF he should go akajipange kwanza ndio aje back may be after 10 yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…