Sijaona mkare (4 girls)

Sijaona mkare (4 girls)

hali naona imekuwa tete,mchumba anatafutwa jamani sioni sababu ya kupashana.......

anayetafuta anaonekana sio mjanja wala muongo weee kaka wanawake hawapendagi watu wa hivi,unazidi kuingia chakani mwaya.....sie tunapenda mtu anayetudanganya.....

na mwisho nimeanza kuside na Ivuga,wanawake tunapenda tuwe na financial security ndioo maana saa nyengine tunajipanga kibao kwa mtu mmoja anayeonekana kuwa nazo,wewe kwa maelezo yako ndio kwaanza unahangaika na life hujalipatia bado,ni vigumu kupata mtu kazichange zaidi usisikilize wanafiki wanaoataka kukuchoresha zaidi humu mwishowe useme yooote hadi bank una shiling ngapi,humu ni vivuli tu mwaya usihangaike sana

Life is about choice , after I finished form 4 nilipata dv 2 and i was selected to join the dar eslaam institute of technology D.I.T. sababu nilichagua kujon technical collage instead of form , even othough it was not essy sababu walimu wangu walitaka nichague kujiunga na kidato cha 5. but nilikuwa nimeshakubaliana na familia yangu juu ya suala hilo kwa maana niliwaeleza kwamba sitaki kufocus sana kwenye theory things bali i want ot get my hands dirty by doing practical things in collage. Baada ya kuwa nimejiunga na chuo every thing was very fine isipokuwa kulikuwa na tatizo moja lililo kuwa likinisumbua ni kwamba nilikuwa ni kiingia kwenye lecture saa mbili na na lecture akaingia baada ya 25 to 30min nakuwa nimeshikwa na usingizi tayari no matter mwalimu gani ameingia. hiyo ni asubuhi na mchana baada ya break hapo ni 20 to 25 min nakuwa nimesha sinzia. somo nilikuwa sisinzii ni enterpreneurship ( ujasilia mali) . lectures sm lectures wakawa wana niita ofcn kwao kujaribu kunihoji nina tatizo gani na wengine wakisema kuwa nahitaji maombi. At the END of the day nikajiuliza hivi Am I sure am Doing waht i like to do ? or am doing what i Am suppose to do ?After 1 year nikachukua matokeao yangu kisha nikaomba kuahirisha mwaka ulio kuwa unafuata ili niweze kupata mda wakutosha kufikilia juu ya kitu ambacho napenda kufanya juu ya maisha yangu.mwaka jana tarehe 1.1. 2010 niliajliwa katika fani yangu na kampuni moja hapa jijini. Ila baadaye nikashindwa kuendelea kwa sabau sikuwa nikitaka kuishi sehemu ambayo nafanyia kazi (Hotelini) ingawa kiukweli life ya hapo ilikwa supa maana i was senior stuff na nikiamka nakuta meza imechafuliwa then ni life ya ufukweni. pia kuna mambo mengine madogo madogo ambayo tulishindwa kuelewana. ila chamsingi ni kwamba nilitaka kuwa na kwangu sabu nilikuwa napokea salary then cjui inaishaje. bt kama nina kwanguvilivyo nizunguka ndo vimemeza salary yangu.na skutaka siku niachishwe kazi then niende kuishi kwa m2. niliandika barua nika rizain. i did not hve alot of balance ila nilitafuta chumba nikalipia miezi sita. kisha balance nyingine nikaiweka benki ili iweze kunitunza mpaka hapo nitakapo rescure another job ingawa kuna kampuni tayari nilikuwa nime apply na nilitarajia kujiunganayo baada ya miezi miwili. In my new room there was oly 2 Suitcases. nilliweka shuka madilishani kama pazia , nilitandika net chini na mto nikalala. then imeenda ikarudi and nw i thank GOd kwamba sasa nina chumba ambacho unaweza ukasema anaish smbody. i will upload sm photos of it soon.
Yap B.O.G weka pic za geto lako sasa ili wakubali kuwa kama ulianza kulala chini 4 sure after 10 years mwana utaendesha gari, kila kitu ni kutafuta man usiogope mikwara ya Ivuga yeye picha kapiga nyumba ya jirani yake.

Kama ingekuwa watu wakisoma wanakuwa na uwezo Wa kufikiri Kama wako basi wengi wange-opt kuwa wajinga!Anyway, to avoid ban.. Wacha nikalale...
sijakuelewa bado..wt the hell u want?if you think education is expensive try ignorance.. nyi ndio mnangojea baba zenu wafe ili mn'gan'ganie mali ...

hali naona imekuwa tete,mchumba anatafutwa jamani sioni sababu ya kupashana.......

anayetafuta anaonekana sio mjanja wala muongo weee kaka wanawake hawapendagi watu wa hivi,unazidi kuingia chakani mwaya.....sie tunapenda mtu anayetudanganya.....

na mwisho nimeanza kuside na Ivuga,wanawake tunapenda tuwe na financial security ndioo maana saa nyengine tunajipanga kibao kwa mtu mmoja anayeonekana kuwa nazo,wewe kwa maelezo yako ndio kwaanza unahangaika na life hujalipatia bado,ni vigumu kupata mtu kazichange zaidi usisikilize wanafiki wanaoataka kukuchoresha zaidi humu mwishowe useme yooote hadi bank una shiling ngapi,humu ni vivuli tu mwaya usihangaike sana
hebu acha ujinga mdada, umeambiwa pesa ndio mapenzi? Ucjidhalilishe mdada hata kama mwanaume ana pesa si zake we zinakuhusu nini?au umemsaidia kutafuta! Yani mdada kama ww ni limbukeni na hujithamini.Pesa si kitu dada ujue kuna virusi pia.Je men mwenye mali then malaya anaelala na machangu na men masikini then mtulivu mwenye real luv na uaminifu,na kukujali ww unachagua yupi?

umeona dadayangu ee.. mimi sina kinyongo naye .. im just trying to put him kwenye reli.. sasa hivi anataka kuweka picha za mapazia yake.. nani hawezi kununua mapazia? hivi unataka kupata mwanamke kwa kuweka picha za mapazia? bado naendelea kumsisitizia dogo akapige kitabu.. anadai aliacha chuo kwa sababu alikuwa analala darasani..he?? sio bangi hizi kweli? mola hamtupi mja wake.. now days things have changed especially hapo nyumbani tz. guys wanaopingana na mimi ni kweli hawajaelewa intention yangu.

hebu acha ujinga mdada, umeambiwa pesa ndio mapenzi? Ucjidhalilishe mdada hata kama mwanaume ana pesa si zake we zinakuhusu nini?au umemsaidia kutafuta! Yani mdada kama ww ni limbukeni na hujithamini.Pesa si kitu dada ujue kuna virusi pia.Je men mwenye mali then malaya anaelala na machangu na men masikini then mtulivu mwenye real luv na uaminifu,na kukujali ww unachagua yupi?
kwani umaskini ndio mapenzi??? siku hizi mapenzi na pesa ni kama chanda na pete.. amini usiamini acha kumtukana dada wa watu kwa kuongea ukweli.. no money no respect in this world.. usilalamike piga kitabu kuwa mjasiriamali lazima utatoka tu. ok pesa si kitu kuna virusi pia.. maskini hawapatwi na virusi?? kama pesa ndio virusi watu waliopo europe na usa wenye mapesa ya kumwaga wote si wangekuwa an virusi??? believe me sikunyanyapai ila virusi vinachangiwa na umaskini... ok?

Ehhhh tafadhali wewe naomba mambo ya babu yangu uachane nayo...sijamuweka mtu yeyote kwenye hoja yangu bila wewe mwenyewe kumchomekea....and FYI babu yangu was nothing but a winner.

Kuhusu hayo mengine naona niyapotezee tu maana muda wa kubishana na mtu kama wewe sinao...na kuhusu kuniPM don‘t you even think about it maana USHAMBA sifagilii kabisa.Utaishia kunijazia PMB yangu bure tu.
hahahhahahah!! staki nataka mieee

Yap B.O.G weka pic za geto lako sasa ili wakubali kuwa kama ulianza kulala chini 4 sure after 10 years mwana utaendesha Bentley, kila kitu ni kutafuta man usiogope mikwara ya Ivuga yeye picha kapiga nyumba ya jirani yake.
hahahah!! aweke picha ya mapazia yake atampata nani? hahahaha .. dogo aende akamalize chuo kwanza ndio arudi hapa atafute mwanamke ..

hali naona imekuwa tete,mchumba anatafutwa jamani sioni sababu ya kupashana.......

anayetafuta anaonekana sio mjanja wala muongo weee kaka wanawake hawapendagi watu wa hivi,unazidi kuingia chakani mwaya.....sie tunapenda mtu anayetudanganya.....

na mwisho nimeanza kuside na Ivuga,wanawake tunapenda tuwe na financial security ndioo maana saa nyengine tunajipanga kibao kwa mtu mmoja anayeonekana kuwa nazo,wewe kwa maelezo yako ndio kwaanza unahangaika na life hujalipatia bado,ni vigumu kupata mtu kazichange zaidi usisikilize wanafiki wanaoataka kukuchoresha zaidi humu mwishowe useme yooote hadi bank una shiling ngapi,humu ni vivuli tu mwaya usihangaike sana
good to be honest bt unfortunatly ur not kind of what am lookin 4 .

hebu acha ujinga mdada, umeambiwa pesa ndio mapenzi? Ucjidhalilishe mdada hata kama mwanaume ana pesa si zake we zinakuhusu nini?au umemsaidia kutafuta! Yani mdada kama ww ni limbukeni na hujithamini.Pesa si kitu dada ujue kuna virusi pia.Je men mwenye mali then malaya anaelala na machangu na men masikini then mtulivu mwenye real luv na uaminifu,na kukujali ww unachagua yupi?

wee nitusi ila hakuna mdada yuko tayari kukaa na mtu ambaye hana pesa,umasikini ni mzigo au hujui hilo???eti real luv,wee real luv ukiiona utaijua????UNAIPIMAJE??? kisa mtu ni maskini then ana real luv eeeh???endelea kujidanganya!ingekuwa hivyo pale muhimbili wanaopata ukimwi wangekuwa matajiri peke yake..........................mtu akiwa funancially stable mwanamke inakupa confidence hata mkizaa mtoto hatapata shida,au hata wewe mwenyewe mwanamke ukipatwa na tatizo kuna mtu wa kukusaidia............................meza tema ila ukweli ndio huo wanawake tunataka mtu atakayetupa financial security!

tell em .. tell em

good to be honest bt unfortunatly ur not kind of what am lookin 4 .

am not looking for any man,that was just advise,the problem with you....you dont digest what is being said....unachukulia tunaokushauri vinginevyo kama haters....hili ni tatizo...be realistic my brother utasearch weee usimpate huyo mtu,ongeza CV lako uone kama hawatajipendekeza wenyewe? wala hutakuwa na shida ya kumtafuta humu mtandaoni watajipendekeza wenyewe...shaurilo!

we Jestina nimependa jinsi unavyommwagia mipoint huyu dogo.. he should take ya advice and work on it immediatelly// mpaka sasa hivi ni kuwa japo dogo ana mi konfidensi lakini hawezi kupata mwanamke hapa JF he should go akajipange kwanza ndio aje back may be after 10 yrs

Back
Top Bottom