Sijaona mkare (4 girls)

cjakutukana kumponda mshkaji kwa kuwa hana pesa, umefanya kitu kibaya. Na kwa nn useme wanawake wote wanapenda pesa?futa kauli yako unadhalilisha wadada wenzako? Mwanamke apendae pesa ni malaya tu sina neno lingine la kumkinganisha nalo.Then kwa nn ume copy msg yangu nusu tu?Ungemalizia na kumeza hizo pini pale chini.Acha kujidhalilisha bila aibu unadai wanawake mnapenda pesa duh!Nakuuliza tena men mwenye pesa,magari n.k then ni muhuni analala na machangu na men masiki hana pesa bt ana mapenz ya kweli,muaminifu na mwenye heshima ww unachagua yupi?
 
mawazo ya ajabu sana haya! Hv ww unatafuta bwana kwa kuangalia mali?4 sure wewe huna mapenzi na wadada wa type yako hawafai kabisa.Nimepitia post zako hapa na nimeona jinsi ulivyo yani upo after money na Cv ya mtu.Ok nakujulisha kuwa usikute huyu jamaa hapa ni milionea bt kajishusha hapa ili apande mpenz wa kweli na si kama ww mpenz wa pesa.Kuna movie moja ya Ray na wolper ungeitazama ungepata funzo kubwa sana kuwa mtu anaweza ku act apate kitu halisi coz kwa vyovyote vile bila kujifanya masikini lazima wadada type yako watakuja nakujifanya mnampenda kumbe mna deal na pesa tu.Ona aibu japo kidogo. Shame on u.
 
katengeneze mapesa wewe acha kulalama hapa...kama mapesa sio kitu KWA nini hujaenda kumuoa jlo? au rihana
 
ndio manake..na nyumba nzuri pia na elimu nzuri.. au wewe kipimo chako ni nini?

Kwa hiyo mademu unaowapata ndio wanazimikia hivi ulivyovitaja? I mean hebu i describe hiyo elimu nzuri..do you mean Masters level, PhD level, do you mean kusoma Cornell, Oxford, Mzumbe, SUA? And how do you describe nyumba nzuri? You see where I am going? Point yangu ni kwamba sio kila mtu ana view ya maendeleo aliyenayo mtu mmoja. People are different. Wewe mtazamo wako wa maendeleo ni tofauti na mtazamo wangu. Kwa mfano maendeleo kwangu yanaweza kuwa ni ku retire na kuwa financially free nikiwa na miaka 45 na ku travel around the world. Mtu mwingine maendeleo ni kuweka umeme kwenye nyumba yake..
 
Kwa hiyo mademu unaowapata ndio wanazimikia hivi ulivyovitaja?
nani kakuambia kuwa mimi huwa natafutaga mademu? nimeongea lini hii kitu? mimi sitafuti mademu bwana .. au unajaribu kueleza characters zako hapa?
 
Ivuga ni sawa kumshauri asome Lakini si kumkatisha taama ya Kumpata wake sasa.. Usimdharau mtu hatakamaHana mikono..Na hayo magari si kitu kwa kweli.. Kuna wengine wana umri miaka 23 Na wana magari zaidi ya hayo... Samahani Ivuga ila ambao wanazo hawaji Onyeshi ....
 
ivuga co kwamba hatuelewi intention yako hapana bt nilichokupinga ni kwamba una fikra potofu kwamba wanawake wote wanapenda pesa!Hapo nakataa man always luv z unique na kamwe usidhani kumpata ww msichana ni kuwa na gari je hao wasichana waliozaliwa tu tayari wana magari na wamekua na magari utawadanganya nini? Hebu kuwa mjanja man unaweza kuwa na pesa na bado ukawa boya tu.Wangapi wanapesa wanamehewa mademu wao.Kama huamini nionyeshe dem wako then nipe 30 days tu kama sitakuita geto ushuhudie nikimpekenyua.Narudia tena unaweza kuwa na magari na bado ukawa boya tu na masela hawana kitu wakakugongea demu wako.Kubali ukatae huo ndio ukweli.
 
Hivi kwan huyu mkaka hajapata mchumba mpaka leo?
 

acha kuniiletea mifano ya kusadikika hapa.......kuna matajiri walio na tabia nzuri na wengine ni wahuni kama masikini ambavyo wapo wenye tabia nzuri na wengine mbaya,kwa nini nichague tajiri muhuni?au masikini asiye na mali wakati wapo matajiri na wenye tabia nzuri nikitaka???
afu umekomalia najidhalilisha kwa lipi,kusema tunapenda mwanaume financially stable ni jambo la kudhalilisha????SIONI HOW???
lastly huna haja ya kutumia maneno ya mitaani,ooh malaya and the like ili ueleweke!ok???mshikaji wako hajapondwa ila ameambiwa ukweli....hauna haja kuleta maneno machafu hapa kujustfy ANYTHING!
 
nani kakuambia kuwa mimi huwa natafutaga mademu? nimeongea lini hii kitu? mimi sitafuti mademu bwana .. au unajaribu kueleza characters zako hapa?

Nope, sijawahi kutafuta uhusiano hapa JF na wala siku hapa kwa lengo hilo mkuu. I am just here just like the majority kuweka mawazo ya namna ya kukabiliana na hizi changamoto. Kingine, I try to be humble kwa sababu I have been on both ends...nimeshakuwa fukara sana na sasa hivi I am very independent. However, issue iliyotuleta hapa ni ya huyu mwenzetu B.O.G na sio magari wala nyumba wala fedha..those are just things...materials..they never last.
 
afro d check his msg down here... hahaha !!! hakuna umeme? umeipigia ccm kura iam sure .. ccm ndio kuna watu washamba washamba kiasi hiki.. no genereta around you? this is fixation
Utabiri wako hauja kamilika..Mimi sio CCM na si tumii genereta.. Try again ...
 

pole wee kama zile movie za akina Ray ndio zinakuzuzua,jifanye leo wewe masikini na unatafuta kama UTAMPATA MTU?????aliyekuambia mapenzi ya kweli yanapimwa kwa UMASIKINI kakudanganya!!....wapo matajiri kibao wako HAPPY na ndoa zao!.....
na sijaona sababu ya huyu mtoa mada kujishusha kama yeye ni milionea,anajikosesha nafasi ya kukutana na warembo wa ukweli.....mdada gani atataka apate mtu masikini ili mradi tu anampenda????umeambiwa utakula na kuvaa hio real luv????embu kuwa realistic kidogo
 

Wako mafukara kibao hapa na wana wapenzi wao vile vile....
 
acha kujiosha hapa, nimekupa ukweli ukubali ukatae utajua mwenyewe.Utasemaje wanawake wote wanapenda pesa?Acha kujidhalilisha na kudhalilisha wenzako.Wadada type yako ni vicheche una kazania financial stable si utafute yako? Yanini kukazania mali za wanaume?Eti ooh wanawake tunapenda kudanganya! Wewe kweli mwehu na utadanganya miaka yote.Hv anaekudanganya ana mali na anaekwambia ukweli hana mali bt anakupenda kwa dhati bora yupi?wewe inaonyesha unapenda sana kuonjwa na kudanganywa na mali,magari n.kThen weka akilini kuwa financial stability it can change any time. Leo hii na men wako mwenye magari na pesa may b 2 yrs later mkawa kapuku tu na huyu dogo akawa milionea. Je utamfuata dogo akuoe?Siku nyingine usilete ujinga hapa jamvini kuna watu akili zao.
 
Utabiri wako hauja kamilika..Mimi sio CCM na si tumii genereta.. Try again ...
aa Afro d nilikuwa sikuambii wewe bwana.. nitakuambiaje hivyo aisee? huyu jamaa kaambia kuwa alipigiwa simu akawa hapatikani.. akajibu kuwa umeme ulikatika ..this was nt ya meseji my dear Afrod. relaxy with happy
 
hivi kwao vicheche wa mtaani ndio warembo?Hv unajua maana ya mke wewe?Kijana anaweza kupata mke kwa pesa zake je pesa na kufilisika ndio mapenz kwa mkewe nayo yatakuwepo?Hebu tumia akili wewe acha ujuha dada.Yani kama umeole wewe aliyekuoa kapata hasara kubwa yani umekiri wazi eti sisi tunapenda pesa na kuita eti financial stability.Tafuta zako acha za wanaume utanyanyasika siku zote.Acha kijana hapa atumie mbinu zake kama ni kweli hana kitu au ni kujishusha au ku act choka mbaya ili apate mke wa kweli na cku ukisikia anaenda honeymoon frorida ndio utatia akili.
 
umeongea maneno meeengi wee. unataka umtongoze demu wangu .. sista do wangu hahahah wewe hutaweza swagga zangu na mimi sio mtu wa kujionyesha jamaa anatakiwa some umri wa kuoa bado kabisa kwake..
ook achana na demu wangu mjibu huyu dada ha[po chini kwanza
Hivi kwan huyu mkaka hajapata mchumba mpaka leo?
 
hahahah ok pole sana nimependa mawazo na plan zako.. wewe kweli ni kiboko yaani kuweka umeme kwenye nyumab yako ni maendeleo? hahah umeme gani huo? tanesco? pole sana labda uweke giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…