Sijaona mkare (4 girls)

Sijaona mkare (4 girls)

aiseee saint Ivuga kama huo ni usafiri wako RIMOYO RANGU TAYARI RIMEKUDONDOKEA...kweli this should be the topic of the year manake vimbwanga balaaa........
HII NDIO AKILI YAKO, UKISHAONA MAGARI TU LOL.We Kweli Maharage ya mbeya.ONA AIBU JAPO KIDOGO.Narudia tena demu type yako hafai na umenikera uliposema wadada wote mnapenda pesa. Shame on you.
 
Ivuga ni sawa kumshauri asome Lakini si kumkatisha taama ya Kumpata wake sasa.. Usimdharau mtu hatakamaHana mikono..Na hayo magari si kitu kwa kweli.. Kuna wengine wana umri miaka 23 Na wana magari zaidi ya hayo... Samahani Ivuga ila ambao wanazo hawaji Onyeshi ....
afro d asante kwa ushauri na kwa nini jamaa alivyoonyesha picha zake za kijijini haujakasirika? hahah mimi sijaonyesha mali zozote hapo nikionyesha mnaweza kuniita fisadi hapa JF .. ok let forget this for now .. mimi nia yangu sio kumdharau jamaa ila sitaki watu mumshangilie jamaa hapa aweke picha zake na kujianika hapa huku mkimsifia na wakati mkijua kuwa hamuwezi na hamtokuja kuolewa na yeye nilichofanya ni kumshtua tu asiendelee kujichoresha kwa sababu hajajua mambo ya mitandao bado
 
HII NDIO AKILI YAKO, UKISHAONA MAGARI TU LOL.We Kweli Maharage ya mbeya.ONA AIBU JAPO KIDOGO.Narudia tena demu type yako hafai na umenikera uliposema wadada wote mnapenda pesa. Shame on you.
hahahha acha wivu wewe mwenyewe umeyapenda na kwa taarifa yako huyu ni dada yangu kwa hiyo nakuomba usiendelee kumtukana.
 
hahahah hayo ni maneno tu yapo hadi kwenye kanga .. mwanaume sio ndevu hata kambale anazo
nina uhakika unaujua ukweli ila hutaki kukubaliana na reality....
[video=youtube_share;4dPjONDN3ZI]http://youtu.be/4dPjONDN3ZI[/video]
 
Last edited by a moderator:
you will end marrying ya house gal. im telling you boy
Kwani house gal sio msichana?mbna mnakua na dharau za ajabu hivi!Hv kwa life hii ya bongo mtoto akikosa uelekeo kwa sababu ya ufukara wa wazazi wake na akaishia house gal utamlaumu?!Inaonyesha ww hata house gal kwenu una mnyanyapaa kwa kuwa tu may b wewe umesoma na dada zako wana elimu pia.Hv wote tukiwa matajiri nani atakua housegal? Je house gal hana haki ya kuolewa?Sio fair kabisa man na sana sana me nakuona bado hujaelimika.Unamponda kijana hapa bt may wewe ndo ukawa ni choka mbaya bora hata ya huyu.Ukweli inawezekana hayo magari hapo ni ya jirani yako, alway mwenye mali hajisifu kama wewe.Count my words.
 
acha kujiosha hapa, nimekupa ukweli ukubali ukatae utajua mwenyewe.Utasemaje wanawake wote wanapenda pesa?Acha kujidhalilisha na kudhalilisha wenzako.Wadada type yako ni vicheche una kazania financial stable si utafute yako? Yanini kukazania mali za wanaume?Eti ooh wanawake tunapenda kudanganya! Wewe kweli mwehu na utadanganya miaka yote.Hv anaekudanganya ana mali na anaekwambia ukweli hana mali bt anakupenda kwa dhati bora yupi?wewe inaonyesha unapenda sana kuonjwa na kudanganywa na mali,magari n.kThen weka akilini kuwa financial stability it can change any time. Leo hii na men wako mwenye magari na pesa may b 2 yrs later mkawa kapuku tu na huyu dogo akawa milionea. Je utamfuata dogo akuoe?Siku nyingine usilete ujinga hapa jamvini kuna watu akili zao.

maneno ya mitaani kila mtu anayajua....nijikoshe kwako nakujua????wewe ndio nimekupa ukweli halisi unaleta hadithi za akina Kanumba....kwa akili yako ndogo umewaza utegemezi,nikisema finacial stability simaanishi mwanamke amtegemee mwanaume........ila namaanisha mwanaume awe stable kukupa wewe confidence mambo yakienda mrama basi at least yeye yupo kuyatake care! mwanenu mkimleta duniani hautakuwa peke yako kulea au hautakuwa na msaada mwingine financially kumlea......
sasa wewe na real luv yako kazana nayo as if yenyewe ndio inaleta ugali mezani,nadhani uko soo naive ama plain stupid kushindwa kutambua hamna real luv kama hamna pesa!........kutokuwa na pesa kunaweka a lot of strain kny relationships...na ndoa kibao ziki kny migogoro kwa sababu ya pesa kama hujui.....
 
HII NDIO AKILI YAKO, UKISHAONA MAGARI TU LOL.We Kweli Maharage ya mbeya.ONA AIBU JAPO KIDOGO.Narudia tena demu type yako hafai na umenikera uliposema wadada wote mnapenda pesa. Shame on you.

,mie kusema hivyo ni utani tuu kama wewe umechukulia kweli shaurilo....huyo Ivuga simjui na hapo inawezekana ni magari yake au siyo na pia hunijui...inawezekana mie ni kibibi nishapita huko siku nyiingi....lastly maneno yako ya mitaani hayanikoseshi usingizi mie,mara ooh demu,malaya etc if anything hayanisumbui sana sana unajionesha wewe ni mtu wa aina gani....
 
hahahah ok pole sana nimependa mawazo na plan zako.. wewe kweli ni kiboko yaani kuweka umeme kwenye nyumab yako ni maendeleo? hahah umeme gani huo? tanesco? pole sana labda uweke giza

Maana yake maendeleo sio uniform..kila mtu kwa ngazi yake...ndio maana uliposema maendeleo kwako ni gari nzuri, nyumba, nzuri, elimu nzuri, nikakuuliza u describe nyumba nzuri, na pia u describe elimu nzuri.
 
Kwani house gal sio msichana?mbna mnakua na dharau za ajabu hivi!Hv kwa life hii ya bongo mtoto akikosa uelekeo kwa sababu ya ufukara wa wazazi wake na akaishia house gal utamlaumu?!Inaonyesha ww hata house gal kwenu una mnyanyapaa kwa kuwa tu may b wewe umesoma na dada zako wana elimu pia.Hv wote tukiwa matajiri nani atakua housegal? Je house gal hana haki ya kuolewa?Sio fair kabisa man na sana sana me nakuona bado hujaelimika.Unamponda kijana hapa bt may wewe ndo ukawa ni choka mbaya bora hata ya huyu.Ukweli inawezekana hayo magari hapo ni ya jirani yako, alway mwenye mali hajisifu kama wewe.Count my words.
nani kakuambia kuwa mimi naishi kwetu? au nani kakuambia kuwa mimi nina house girl.. i really loves wadada zetu na wanawake wote nawapenda sana thats why im standing here kuwatetea wasiingizwe machaka na hawa masharobaro wa siku hizi.. ok
hapo nilipopigia mstari ..kama unasema kuwa kuoa housegal ni poa basi nenda kaoe sikuzuii
 
maneno ya mitaani kila mtu anayajua....nijikoshe kwako nakujua????wewe ndio nimekupa ukweli halisi unaleta hadithi za akina Kanumba....kwa akili yako ndogo umewaza utegemezi,nikisema finacial stability simaanishi mwanamke amtegemee mwanaume........ila namaanisha mwanaume awe stable kukupa wewe confidence mambo yakienda mrama basi at least yeye yupo kuyatake care! mwanenu mkimleta duniani hautakuwa peke yako kulea au hautakuwa na msaada mwingine financially kumlea......sasa wewe na real luv yako kazana nayo as if yenyewe ndio inaleta ugali mezani,nadhani uko soo naive ama plain stupid kushindwa kutambua hamna real luv kama hamna pesa!........kutokuwa na pesa kunaweka a lot of strain kny relationships...na ndoa kibao ziki kny migogoro kwa sababu ya pesa kama hujui.....
relationship kwa mademu vicheche ndo zinazingatia hilo hilo.Wangapi hawana pesa na wana mademu wazuri tu wasomi na wenye pesa zao! Achana na hiyo dhana mbovu unazidi kuonekana mcheche.Do u mean masikini hana haki ya kuoa?Hv mali zikitafutwa hazipatikani?Je mwenye mali hawez kufilisika? Inakuwaje unaleta suala la pesa ktk kitu mapenz? Luv z unique dada.
 
relationship kwa mademu vicheche ndo zinazingatia hilo hilo.wangapi hawana pesa na wana mademu wazuri tu wasomi na wenye pesa zao! Achana na hiyo dhana mbovu unazidi kuonekana mcheche.do u mean masikini hana haki ya kuoa?hv mali zikitafutwa hazipatikani?je mwenye mali hawez kufilisika? Inakuwaje unaleta suala la pesa ktk kitu mapenz? Luv z unique dada.

kula five
 
Kama ni dada yako umekula hasara!Count my words
hahah hasara gani?? angalia mapoint aliyokupa hapo chini .. na hajakutukana hata kwenye post yake moja ila wewe umempa shame on you kama mia moja hivi nakuangalia tu .. cheki hapo down sehemu nilizopigia mistari.....
maneno ya mitaani kila mtu anayajua....nijikoshe kwako nakujua????wewe ndio nimekupa ukweli halisi unaleta hadithi za akina Kanumba....kwa akili yako ndogo umewaza utegemezi,nikisema finacial stability simaanishi mwanamke amtegemee mwanaume........ila namaanisha mwanaume awe stable kukupa wewe confidence mambo yakienda mrama basi at least yeye yupo kuyatake care! mwanenu mkimleta duniani hautakuwa peke yako kulea au hautakuwa na msaada mwingine financially kumlea......
sasa wewe na real luv yako kazana nayo as if yenyewe ndio inaleta ugali mezani,nadhani uko soo naive ama plain stupid kushindwa kutambua hamna real luv kama hamna pesa!........kutokuwa na pesa kunaweka a lot of strain kny relationships...na ndoa kibao ziki kny migogoro kwa sababu ya pesa kama hujui.....
hapo kwenye red ndio kakuua kabisa ... im proud huyu dada ana akili nyingi and she is genious more than you hundreds times
 
relationship kwa mademu vicheche ndo zinazingatia hilo hilo.Wangapi hawana pesa na wana mademu wazuri tu wasomi na wenye pesa zao! Achana na hiyo dhana mbovu unazidi kuonekana mcheche.Do u mean masikini hana haki ya kuoa?Hv mali zikitafutwa hazipatikani?Je mwenye mali hawez kufilisika? Inakuwaje unaleta suala la pesa ktk kitu mapenz? Luv z unique dada.
unaposema maskini unamaanisha ni mtu wa aina gani???
 
,mie kusema hivyo ni utani tuu kama wewe umechukulia kweli shaurilo....huyo Ivuga simjui na hapo inawezekana ni magari yake au siyo na pia hunijui...inawezekana mie ni kibibi nishapita huko siku nyiingi....lastly maneno yako ya mitaani hayanikoseshi usingizi mie,mara ooh demu,malaya etc if anything hayanisumbui sana sana unajionesha wewe ni mtu wa aina gani....
yap hata mm nataka ujue mm ni mtu wa aina gani 4 sure umenikera ulipodhalilisha wanawake na kusema mnapenda pesa.Kauli kama hiyo ilitakiwa ailete mwanaume then wewe kama mdada ndio upinge bt cha ajabu wewe tena ndo unaleta kauli za kujidhalilisha kama hizo.Acha kujidhalilisha mdada na kupenda pesa mdada lol.Madem wangapi wanapesa na wameolewa na wanaume masikini tu.Au ma men wangapi wanapesa na wanamegewa madem zako na wanaume wa vijiweni tu ambao hawana mali.Japo ckujui bt nishajua wewe ni mdada wa aina gani.Count my words.
 
Maana yake maendeleo sio uniform..kila mtu kwa ngazi yake...ndio maana uliposema maendeleo kwako ni gari nzuri, nyumba, nzuri, elimu nzuri, nikakuuliza u describe nyumba nzuri, na pia u describe elimu nzuri.
umeshaingia kwenye mstari tuko pamoja
hapo kwenye mstari + mapesa mengi
 
Kwanza umesema watu ambao wako serious hawatafuti wenza mtandaoni ila na wewe umeunga tela na kutafuta...mpaka hapo nasena wewe sio MAKINI.

Then ukasema VINAVYOPENDWA sana ndivyo vichukiwavyo zaidi...kwahiyo wewe unapendwa sana?!Sasa mbona huko kupendwa kote bado hujapata kitu?!

Tatu mtu kakuingiza chaka uweke picha yako JF na wewe ukaweka utadhani aliyekwambia amewahi kuweka yake au anatarajia...mpaka hapo nasema wewe SIO MJANJA.

Sasa mbona wewe sio MKAREE?!Iweje utake wakare?!Na mtoto wa miaka 17 unataka kumpeleka wapi?!

lizzy si umeona alivojipigilia lakini? FC wamejaa naona
 
Back
Top Bottom